Wakenya chekini ubora wa reli ya Tanzania

Pigieni magoti Uhuru awashe WiFi
Lakini TZ pesa ipo chini thaman ila ukiipata ndogo tu unatatua shida zako wala hausubirii msaada w a Serikali lakini wao mpaka bando serikali duh!! Mtihani huu
 
Hawawez kuangalia hao bando kenya kumudu shida sana sio kama TZ ,Wao baraka ya kushangilia thamini ya pesa yao tu ila kutumia hawawezi
Wakenya wana dhiki sana basi tu wanajititimua jf ni wakuhurumiwa kabisa
 
Mnatakiwa muangalie ili mzidi kuongeza chuki zaidi [emoji23][emoji23][emoji23].
I also wondering why we have to watch this . Kwanini mwanza mada hakuelekeza hili jambo kwa waZambia ,Wanyarwanda ama watu wa Malawi? Mbona hawakuleta haya maringo yao wakati ile treni chakavu ya uturuki ilipoanguka?
 
Kuwanini Mnaogopa Kuangalia Video?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…