Wakenya chekini ubora wa reli ya Tanzania

Wakenya chekini ubora wa reli ya Tanzania

Yakwao ni feki INA BIM 2 tu wakati yetu INA 4 yao kila kitu ni low quality
It's not the number of beams that count what matters is the type of reinforcement used and the class of concrete plus other design factors and considerations.
 
Nimefanya utafiti wa view siku nyingi tukipost video hapa view wanaongezeka kidogo
JF ina Wakenya wachache na Wabongo wengi pengine useme wabongo ndio hawana pesa ya kununua bundle
 
Tizama video acha porojo hayo yote tumewashinda .mchina kawauza
 
JF ina Wakenya wachache na Wabongo wengi pengine useme wabongo ndio hawana pesa ya kununua bundle
Pesa ya bundle ingelikua chache tungelikua wengi Jf?au ni free service,tupa device haina msaada kwako.
 
SGR ya Kenya ni takataka huwezi kufananisha na Tanzania, ni terminals tu ndio zilikuwa zinawabeba lakini nimekuja kuona terminals za Tanzania na zenyewe ni za kuotea mbali kuanzia design, location, modernity etc

Station za Tanzania zitakua zikiruhusu abiria kupanda train indoor halafu gorofani yaani kama jetway au passenger boarding bridge zilizopo Airports wakati Kenya wenyewe wana board trains utafikiri wanapanda maguta au mikokoteni (mvua yao jua lao mbaya zaidi moshi wa train wao) tuwahurumie.
 
Design ya terminals inaonesha sababu ya indoor boarding halafu ni on the 2nd floor basi kutakua na aina tatu za ku access the boarding lounge, 1 kwa kutumia traditional stairs, 2 electric stairway (escalators) na 3 elevator

Hii ni unique Africa bila kusahau hii main terminal itakua some kind of a business hub
 
bullcrap.... wake up from your slumber
 
Mtanzania anapata 1GB kwa 20 KES, Trending videos za Tanzania YouTube ni in terms of several 100k views, Instagram and YouTube ndio Watanzania wamejaa and FYI instagram inakula data kuliko tweeter ambapo ninyi ndio mpo.
Hapo umemaliza kabisa
 
😂😂😂 Imepenya hiyo
Mambo ni motroo 🔥🔥🔥🔥

Design ya terminal ya Dar ni in a shape of Tanzanite crystals of course itakua ni glass tupu, upo? 😅🍸🍷
itakua.. itakua.. itakua.
come up with s/thing new already. tumechoka na 'itakua.. itakua.. itakua' b.s
 
Back
Top Bottom