Wakenya, hata kama mmekwama kiuchumi, mnunulieni Rais wenu ndege mpya!

wakenya kubalini hiyo ndege ni ya zamani hata kama ni airflightworth it is not presidentialworth
 
Sidhani kwani ingekuwa hivyo hata maelezo unayotoa yangekuwa reflected na utaalam wako.
Wewe ni layman ndiyo maana unazungumzia rangi kuchakaa na moshi. Maoni yangu ni vyema ungefanya utafiti kwanza halafu ukaelimisha jamii. Kwa taarifa yako Airforce1 ya US yenye tail number 27000 ambayo hutumiwa na rais wa marekani ilistaafishwa 2009 baada ya kutumika na marais kadhaa kwa miaka 30.
 
If I ever see Pres Uhuru on that plane again, its either he dont fear for his life or Kenyans don't care for his life...
 
Mnunulie wewe uliyeumizwa na hiyo ndege, unataka kujifanya una uelewa na mambo ya Raisi wa kenya kuliko wakenya wenyewe
 
Tekaneni tu..nynyi msibadilike..halafu hku mkisema watu wanajiteka
Ni jirani zetu na ndugu zetu... Lazima tuwasaidie kwa ushauri... Akifa Kenyatta wakaanza kupigania madaraka wakimbizi wao watakuwa mzigo kwetu... So lazima tufanye risk mitigation...
 

Hizo ndege umeweka hapo ni za mapasta na mabishop.
Hakuna nchi inayojiheshimu inaweza nunua hizo kama ndege ya rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…