Wakenya, hata kama mmekwama kiuchumi, mnunulieni Rais wenu ndege mpya!

Ours is not of 2004. Mind you, we have a newest 'presidential jet'... When the president don't use it, we lease it to Air Tanzania...

View attachment 1154535

Yani ulileta mada kumbe akilini ulikua unaringa eti kwasababu Rais wenu ako na ndege nzuri, Kumbe uatuonyesha kwamba hamna hata ndege ya Rais!!!!!

Hio ndege ulio ionyesha si "presidential jet" ni ndege ya ATCL, yani Air Tanzania, Magufuli ndo hana hata presidential jet inabidi akodishe ndege ya Air Tanzania pamoja na air hostess wa kampuni!!!!!!


Hata Museveni hua anakodisha ndege za KQ na kutumia kwa Ziara rasmi kama "presidential jet"

Kwa mfano hapa Alipokuja ziara rasmi huko Tanzania, alikodisha ndege nzima ya KQ









Pia hapa akizuru Ethiopia
 
Unabisha nn wewee.??
Unafikiri huyo km ww mla githeri?!?
Mbona huku me nina partners tena kusema life is not fair nina mshikaji wangu alifeli o,level sisi tukaingia chuo yeye kaenda Oman kufanya kaz.
After 4 years ana nyumba na gari za fortuner,Range na BMW x3 bro nambie huyo jamaa na ndugu yangu hapo nan wa kumshangaa.
Bora huyo mikopo chefu at the age of 30.
Huyu mwarabu alofeli shule 24 years old km.mm.
Aaaaweeeee!!!sai basi si una private jet mkuu
 
Endeleeni kubishania ndege ambazo hata mnziona angani tu.
 
Nikuulize..unafikiria mtu akipata utajiri at the age of 30...40 yrs atakuwaje...

Mtu km hyo ovias mapato yake ni ya hali ya juu..kw mfano mtu km mark zuckerberg..at the age of 30 keshatusua tayari...unatarajia yule jamaa akifika 40 anakuwaje
 
Nikuulize..unafikiria mtu akipata utajiri at the age of 30...40 yrs atakuwaje...

Mtu km hyo ovias mapato yake ni ya hali ya juu..kw mfano mtu km mark zuckerberg..at the age of 30 keshatusua tayari...unatarajia yule jamaa akifika 40 anakuwaje
Asa mkuu kuna matajiri wenye umaarufu na utajiri.
Na kuna matajiri walio na utajiri ila hawana umaarufu.
Hao watu waogope.
Ndio mm nakwambia.
Yani wanafanya biashara ila sio za kuwaweka wawe maarufu.
Then gusa utajiri wao uone.
Mfano huyu rafiki yangu nilomaliza nae school anafanya kaz ya petroleum huko Oman.
Na hela anapokea kwa Dinar na ashafikisha karibia $ 2 millions kwa madai yake sitaki kuongea sana.Mpe six years akitimiza 30 years atakuaje.
Si kisa mtu maarufu ukadhan tajir kumzid asiye maarufu laa.
Wengine ni km paper money when their value increases they just keep silent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…