Wakenya hawaielewi Katiba yao wenyewe!

Wakenya hawaielewi Katiba yao wenyewe!

Huyu wa kwetu anavopenda kuteua katiba mpya mwiko
 
Sasa upinzani Kenya wamegundua katiba mpya ni kiini macho cha kuwabania wapinzani. Katiba mpya bila nia safi ya kisiasa toka kwa watawala na watawaliwa ni kipande cha karatasi kilichoandikwa matamanio mema ya kufikirika. Nguvu ya umma kupitia mbinyo wa harakati mbalimbali kama maandamano, uhuru wa malumbano huru ya kisiasa n.k ndiyo unaweza kuleta matamanio mema yaliyopo ndani ya katiba mpya kupatikana.
 
Mbinu alizomfanyia Magufuli kuingia magogoni si afanye nae apate kua Rais?ametuchosha kilamwaka .
 
acha wauane
Sasa hayo maneno gani tena. Saa hizi wanauana kupitia mgomo wa madaktari na manesi wote nchi nzima kwa wiki 3 sasa. Si watamalizana sasa kama na hayo maandamano ya Wajaluo yakianza?

Something must be done now by the international community and especially the east african community before such a thing happens.
 
Kama vile Ivorycoast inavyojiandaa kumng'oa Jammeh ndivyo hivyo jamaa atakavyofanya kwa Rais K
 
Hao ndiyo Upinzani, walikuwa wanalilia Katiba mpya na kudanganya watu kwamba ndiyo muarobaini wa matatizo ya Wakenya, sasa wameipata hiyo Katiba mpya na kwa kuwa tu imeshindwa kuwaingiza madarakani sasa hawataki kuitii, najiuliza swali hivi kulikuwa na haja gani kutumia muda na mabilioni ya fedha kuandika Katiba ambayo hamtaki kuitii?
Vyama vingi ni unyonyaji tu.. Hapa Afrika.. Sasa kwanini wasifuate Taratibu.. Hapa ndio maana nimekubali kauli ya JPM waliotaka mambo ya Katiba.. Anajua ni kupotezeana mda tu

Ni sawa wa hapa Tanzania.. Utasikia tunataka tume huru ila bado ikiundwa kelele ni zile zile
 
Una jua sisi VIUMBE VYEUSI huwa tuna matatzo sana maana kamwe HATUWEZI RIDHIKA KWA KILE TUNACHOKIITAJI PALE TUNAPOKIPATA.....haya yanayotokea NCHINI KENYA ni mfano tosha kabsa ya HATA SISI HUKU siku tukipata hitaji la kuwa na TUME HURU ya UCHAGUZI still bado kutatokea WAPUUZI kusema TUME HII YA UCHAGUZI SI HURU...KAMA INAVYOTOKEA SASA NCHINI KENYA......watanzania WENZANGU TUTUNZE AMANI YETU hili ni JAMBO MOJA SANA LA muhimu....KINACHOTURUDISHA NYUMA MPAKA SASA NI KUWA NA VIONGOZI WA UPINZANI WAAJABU SANA wanaoangalia KUUDUMIA matumbo yao Badaala ya kutumiza WAJIBU WAO KAMA VIONGOZI....

Kwa hiyo sisi Tanzania tuna tume huru ya uchaguzi au si huru, na je Kama si huru ambao ni ukweli ni nani anayeakikisha anashibisha tumbo lake kama si hao watawala weusi aka CCM??, usipepese macho funguka baba
 
Huyu ngosha asije kujiroga akamsaidia Raila moja kwa moja kwani matatizo ya nchi ni makubwa kuliko urafiki na maslahi binafsi .
[HASHTAG]#BringbackBenAlive[/HASHTAG]
Kama vile umekurupka
 
Usidanganye watu vyama vya Kenyatta na Makamu wake wametumia wingi wao bungeni kuiifanyia mabadiliko katiba kwa manufaa yao bila maridhiano na upinzani
 
Mpinzani Mkuu nchini Kenya Bw. Raila Odinga, amesema kwamba Uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani hatokwenda tena Mahakamani kupinga matokeo kama asiporidhishwa nayo bali atatumia njia mbadala yaani kuingia barabarani!

Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya, imeandika Katiba mpya ambayo imesema kwamba Tume ya uchaguzi ni Huru, kwa maana ya kwamba Uongozi wake hauteuliwi na Raisi wa nchi na vile vile imetoa uwezo wa matokeo ya Uraisi kupingwa Mahakamani, Mahakama ambayo Majaji wake hawateuliwi na Raisi wa Nchi, lkn pamoja na hayo yote bado Upinzani nchini Kenya unasema kwamba hauiamini Tume wala hiyo Mahakama na hawatapeleka malalamiko yao huko!

Hao ndiyo Upinzani, walikuwa wanalilia Katiba mpya na kudanganya watu kwamba ndiyo muarobaini wa matatizo ya Wakenya, sasa wameipata hiyo Katiba mpya na kwa kuwa tu imeshindwa kuwaingiza madarakani sasa hawataki kuitii, najiuliza swali hivi kulikuwa na haja gani kutumia muda na mabilioni ya fedha kuandika Katiba ambayo hamtaki kuitii?

Mkuu Kenya hiyo unayoizungumza hapa ndio hiyo yenye viwanda vingi kuliko sisi. Ina uchumi mkubwa kuliko sisi. Mbona huizungumzii Kenya katika huo ubora wake bali unataka kuichafua kwa kubeba maneno ya Raila kama ndio ya Wakenya wote? Tunahitaji katiba mpya ya wananchi na sio kutuletea hisia za Raila hapa.
 
Una jua sisi VIUMBE VYEUSI huwa tuna matatzo sana maana kamwe HATUWEZI RIDHIKA KWA KILE TUNACHOKIITAJI PALE TUNAPOKIPATA.....haya yanayotokea NCHINI KENYA ni mfano tosha kabsa ya HATA SISI HUKU siku tukipata hitaji la kuwa na TUME HURU ya UCHAGUZI still bado kutatokea WAPUUZI kusema TUME HII YA UCHAGUZI SI HURU...KAMA INAVYOTOKEA SASA NCHINI KENYA......watanzania WENZANGU TUTUNZE AMANI YETU hili ni JAMBO MOJA SANA LA muhimu....KINACHOTURUDISHA NYUMA MPAKA SASA NI KUWA NA VIONGOZI WA UPINZANI WAAJABU SANA wanaoangalia KUUDUMIA matumbo yao Badaala ya kutumiza WAJIBU WAO KAMA VIONGOZI....

Mkuu kuna mpinzani aliingia mikataba inayoliumiza taifa hili? Acha upuuzi, tunataka katiba mpya ya wananchi itakayotoa nafasi ya kumuwajibisha kiongozi muda wowote akizingua, ama akitaka kunyoosha nchi kwa hisia zake. Pia tunahitaji mgombea huru ambaye atasimamia maslahi ya taifa kwanza na sio chama kwanza.
 
Mpinzani Mkuu nchini Kenya Bw. Raila Odinga, amesema kwamba Uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani hatokwenda tena Mahakamani kupinga matokeo kama asiporidhishwa nayo bali atatumia njia mbadala yaani kuingia barabarani!

Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya, imeandika Katiba mpya ambayo imesema kwamba Tume ya uchaguzi ni Huru, kwa maana ya kwamba Uongozi wake hauteuliwi na Raisi wa nchi na vile vile imetoa uwezo wa matokeo ya Uraisi kupingwa Mahakamani, Mahakama ambayo Majaji wake hawateuliwi na Raisi wa Nchi, lkn pamoja na hayo yote bado Upinzani nchini Kenya unasema kwamba hauiamini Tume wala hiyo Mahakama na hawatapeleka malalamiko yao huko!

Hao ndiyo Upinzani, walikuwa wanalilia Katiba mpya na kudanganya watu kwamba ndiyo muarobaini wa matatizo ya Wakenya, sasa wameipata hiyo Katiba mpya na kwa kuwa tu imeshindwa kuwaingiza madarakani sasa hawataki kuitii, najiuliza swali hivi kulikuwa na haja gani kutumia muda na mabilioni ya fedha kuandika Katiba ambayo hamtaki kuitii?
hapa kuna willingness na ability.... huenda willingness walikuwa nayo ila ability ilikosekana. Ni kma waliopigania uhuru wa tanganyika na mapinduzi ya zanzibar walidhani ndio utakuwa mwanzo wa maendeleo ya mtanzania ila watashangaa wakifufuka leo baada ya miaka hamsini ni umaskini kila kona na ufisadi kila eneo la serikali. Hakuna usawa wala haki na nchi imejaa matabaka ya wenye nacho na wasionacho.

Kweli huenda odinga na wapinzani wenzake walijua ingesaidia kuleta mabadiliko cha kushangaza watawala hawajaitendea haki katiba hyo mpya ndio maana analalamika ila haimaanishi alidanganya watu ila tu utekelezaji wake umeharibiwa na WAHUNI WACHACHE wenye uchu wa madaraka uliojawa na chuki za kikabila.

hata tanzania apa ikija tume huru ila ikaingiliwa na virusi vya ccm basi tena tutakuwa hatujafikia malengo yetu kma upinzani. so ni muhim viongozi wa kenya waiheshimu katiba na waitendee haki kama tume inaitwa TUME HURU baso iwe HURU kweli wasiingilie
 
Vyama vingi ni unyonyaji tu.. Hapa Afrika.. Sasa kwanini wasifuate Taratibu.. Hapa ndio maana nimekubali kauli ya JPM waliotaka mambo ya Katiba.. Anajua ni kupotezeana mda tu

Ni sawa wa hapa Tanzania.. Utasikia tunataka tume huru ila bado ikiundwa kelele ni zile zile
huwa mnaunda ama mnafanya maigizo tu. Mkiunda msiingilie hakuna atakayelalamika sio mnaunda kma kiini macho ni kma kipindi kile mmempeleka chenge na tibaijuka tume ya maadili hvi mlikuwa mmemaanisha au maigizo tu???
Muhim mfanye kitu kwa nia ya kweli sio maigizo.... hata katiba mpya mlikuwa hamna nia njema nayo na hamkuitaka sema mlifanya maigizo tu ili mpate cha kupigia kampeni uchaguzi wa mwaka jana na matokeo yale uliyaona mkaharibu mchakato mzima hadi leo watz hawana hamu na rasimu ya chenge.
SULUHISHO: Msianzishe kwa nia ya kuridhisha upinzani au kuxima kelele za wananchi muanzishe kwa nia ya dhati ya kuleta mabadiliko na hapo hutaskia kelele za upinzani kma unavyodai.
 
Una jua sisi VIUMBE VYEUSI huwa tuna matatzo sana maana kamwe HATUWEZI RIDHIKA KWA KILE TUNACHOKIITAJI PALE TUNAPOKIPATA.....haya yanayotokea NCHINI KENYA ni mfano tosha kabsa ya HATA SISI HUKU siku tukipata hitaji la kuwa na TUME HURU ya UCHAGUZI still bado kutatokea WAPUUZI kusema TUME HII YA UCHAGUZI SI HURU...KAMA INAVYOTOKEA SASA NCHINI KENYA......watanzania WENZANGU TUTUNZE AMANI YETU hili ni JAMBO MOJA SANA LA muhimu....KINACHOTURUDISHA NYUMA MPAKA SASA NI KUWA NA VIONGOZI WA UPINZANI WAAJABU SANA wanaoangalia KUUDUMIA matumbo yao Badaala ya kutumiza WAJIBU WAO KAMA VIONGOZI....
mkuu ulifuatilia uchaguzi wa kenya 2013?? au unaongea tu kwasababu chama chako kimezoea kuiba kura hadi imefkia hatua mnaona kma ni haki yenu kupora ushindi as u did in zanzibar??.
walitumia mfumo wa electronic kuhesabia kura na walipoona odinga anaongoza wakasingizia mitambo imepata hitilafu hivyo warudie kuhesabu kwa KUTUMIA MIKONO pale BOMAS. Sasa kwenye mazingira hayo na mwisho kutangazwa mshindi wa kijanja janja wa 50.0% ulitaka yeye afanyeje???
wakenya walianzisha tume huru kwa nia nzuri sema watawala waliojawa na chuki za kikabila hawakutaka kuona asiye mkikuyu kuwa rais pale kenya ndio maana walimfanyia visa vingi odinga hadi kupelekea kuporwa ushindi wake kwa mara ya pili mfululizo.
Acha ushabiki kama huna facts ni sawa na nyie mlianzisha tume huru zanzibar ila mbona bado hamtaki upinzani ushinde ??? maalim akilalamika anakosa??? inakera sana karne hii kuwa na watu wenye fikra HASI kama hizi kwa watu wenye mawazo mbadala.
 
Natamani Uhuru auminye upinzani Kenya Ikiwezekana Raila asiingie Ikulu.Nina Hasira tu na baba yetu ambaye Raila ni swaiba wake
 
Kenya kama zenji asee, Laila aachie dam mpya asiwe kama maalim
 
Back
Top Bottom