Naomba watuambie ni watu gani mashuhuri wamepitia kwao mana huwa wanapiga kelele nyiingii kuhusu elimu wkt sisi ndiyo baba lao la kuzalisha watu wenye akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swali ni je kwnn walikuja kuongeza maarifa Tz na si Kenya [emoji848]Kuzalisha tena[emoji848][emoji848]
Kwan hao walisomea tz tokea la kwanza, wote hao hata chuo sidhani km walianzia UDSM, hao walikua tayari wana misingi bora tokea makwao..
Hapo UDSM walipitia kn vile wasafiri tu
Mada sio kujaza wanafunzi toka pande za dunia, mada ni mashuhuri gn wamepitia hapo UON km unataka wanafunzi toka pande mbalimbali za dunia hata International School of Tanganyika wapo kibao tu.UON ndio chuo pekee EA kw sasa kikichojaa wanafunzi kutoka pande zote za afrika..
Alafu be specific unaposema UON unamaanisha nini mana nme Google nmekuta majibu mengi, ila nilipo Google UDSM ikaja hv [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji90]UON ndio chuo pekee EA kw sasa kikichojaa wanafunzi kutoka pande zote za afrika..
Walikuja kuongeza maarifa tena[emoji2960]Swali ni je kwnn walikuja kuongeza maarifa Tz na si Kenya [emoji848]
MK254 unaitwa huku!!?Kwakweli huwezi kuwaona Wakenya kwenye huu uzi kwasababu huwa wanapenda kuongea ongea lakini linapokuja jambo la on ground wanapoteana [emoji23][emoji23]
Rais Filipe Nyusi alisoma Tanzania shule ya msingi madarasa yote kwahiyo sio chuo tu.Kuzalisha tena[emoji848][emoji848]
Kwan hao walisomea tz tokea la kwanza, wote hao hata chuo sidhani km walianzia UDSM, hao walikua tayari wana misingi bora tokea makwao..
Hapo UDSM walipitia kn vile wasafiri tu
Hebu tuambie kilichowaleta Tz kupata maarifa.Walikuja kuongeza maarifa tena[emoji2960]
We unakijua kilichowapeleka UDSM?
Tena 80s mazee,
Hata Joseph Kabila ni zao la elimu ya Tanzania.Rais Filipe Nyusi alisoma Tanzania shule ya msingi madarasa yote kwahiyo sio chuo tu.
Acha utopolo taja watu mashuhuri waliosoma kwenye vyuo vyenu vya Kunyaland.Zilizopendwa, enzi hizi wanaopitia humo ndio wale wa kupanda ndege kwa mbwembwe nyingi wakalete kikombe cha babu wa Madagascar na kufunga 'mashine' za kupiga nyungu hadi kwenye hospitali.
Wanawatafuta kwa tochi na hawawaoni au basi watutajie viongozi wa Tanzania waliopata ku graduate Kenya Mana mm nmewawekea Jaji wao mkuu wa zamani Willy Mutunga ni graduate wa UDSM[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha utopolo taja watu mashuhuri waliosoma kwenye vyuo vyenu vya Kunyaland.
Make google your friendHebu tuambie kilichowaleta Tz kupata maarifa.
Pia ni graduate wa UON[emoji1787]Wanawatafuta kwa tochi na hawawaoni au basi watutajie viongozi wa Tanzania waliopata ku graduate Kenya Mana mm nmewawekea Jaji wao mkuu wa zamani Willy Mutunga ni graduate wa UDSM[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa mnasema Watz wengi wanakuja Kenya kusoma, ss tunaomba mtutajie ni kina nani hao kama wapo tuwajue kwamba wamegraduate Kenya, mm naanza na huyu hapa mkenya aliye graduate pale UDSM na akaja kuwafundisha sheria huko kwenu, anaitwa Willy Mutunga.Walikuja kuongeza maarifa tena[emoji2960]
We unakijua kilichowapeleka UDSM?
Tena 80s mazee,
Km UDSM ni iko vizuri, tutajieni watz waliosomea hapo tuwalinganishe na walenya waliosomea UON..Acha utopolo taja watu mashuhuri waliosoma kwenye vyuo vyenu vya Kunyaland.
Ni kweli ila jamaa wapo wengi, sho madjozi pia amesoma Tanzania sekondari. Hoja yake ya wanakuja chuo haina mashiko.Hata Joseph Kabila ni zao la elimu ya Tanzania.