Alikua tayari keshakua mwana sheria hta kabla ya kuja UDSM[emoji1787][emoji1787]upoHuwa mnasema Watz wengi wanakuja Kenya kusoma, ss tunaomba mtutajie ni kina nani hao kama wapo tuwajue kwamba wamegraduate Kenya, mm naanza na huyu hapa mkenya aliye graduate pale UDSM na akaja kuwafundisha sheria huko kwenu, anaitwa Willy Mutunga.
Hehehehehe usijaribu kuharibu lengo la uzi tafadhali, tunaomba mtutajie ni watu mashuhuri gn wamewahi kusoma hapo kwenu na kugraduate ili tujue kwamba mnaweza kukaa level moja na Tz mana mmekuwa mkitengeneza data mitandaoni na kujisifu sifu kila kitu.Km UDSM ni iko vizuri, tutajieni watz waliosomea hapo tuwalinganishe na walenya waliosomea UON..
Nyie mnatuletea list za watu walioanzia kwngine na hko kuja kuongezea tu[emoji2960]
Nyumba ni msingi mzee baba..
Tuonyeshe watz wa UDSM tuwaone
Wale wote mliowaorodhesha misingi ya elimu waliipatia makwao na wengine na kupata shahada ya kwanza hko hko..Ni kweli ila jamaa wapo wengi, sho madjozi pia amesoma Tanzania shule ya msingi. Hoja yake ya wanakuja chuo haina mashiko.
Bwahahah!!kwan UDSM kuna watu mashuhuri gani waliosomea hko?Hehehehehe usijaribu kuharibu lengo la uzi tafadhali, tunaomba mtutajie ni watu mashuhuri gn wamewahi kusoma hapo kwenu na kugraduate ili tujue kwamba mnaweza kukaa level moja na Tz mana mmekuwa mkitengeneza data mitandaoni na kujisifu sifu kila kitu.
Sawa tutajie na nyie waliowahi kupita hapo kwenu mana mtu mpaka anapanda ndege anatoka kwao anavuka nchi nyingi kuja kusoma kwenu si mchezo ujue.Wale wote mliowaorodhesha misingi ya elimu waliipatia makwao na wengine na kupata shahada ya kwanza hko hko..
Yani UDSM walifanya kupapitia tu wala msishtuke sana hvo
Hahahahaaa maanina, natumai baada ya huu uzi kuna kitu utakuwa umejifunza, next tutafungua uzi mwingine ili mjue ni viongozi gn mashuhuri walikuja kuchukua maarifa ya kivita hapa Tz najua utashangaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwahahah!!kwan UDSM kuna watu mashuhuri gani waliosomea hko?
Ona unavyokurupuka, nani anaongelea Technology hapa.Guys hatuwezi kuwa serious watz hatuoni aibu kujishindanisha na Kenya?? Tena kwa upuuzi kama huu wenzetu Teknolojia yao sio level zetu si tupo tunaweka ligi za ajabu...
Wewe taja waliosoma hapo Kunyaland acha utopolo!Km UDSM ni iko vizuri, tutajieni watz waliosomea hapo tuwalinganishe na walenya waliosomea UON..
Nyie mnatuletea list za watu walioanzia kwngine na hko kuja kuongezea tu[emoji2960]
Nyumba ni msingi mzee baba..
Tuonyeshe watz wa UDSM tuwaone
Hakuna mtu mashuhuri aliyesomea UDSM[emoji1787]Hahahahaaa maanina, natumai baada ya huu uzi kuna kitu utakuwa umejifunza, next tutafungua uzi mwingine ili mjue ni viongozi gn mashuhuri walikuja kuchukua maarifa ya kivita hapa Tz najua utashangaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo hyo elimu tutajie mliowazalisha kutoka msingi mpka juu tuwalinganishe na wetu[emoji1787][emoji1787]Ona unavyokurupuka, nani anaongelea Technology hapa.
Nitajie mtu mashuhuri aliyesomea UDSMWewe taja waliosoma hapo Kunyaland acha utopolo!
usitake kubadili lengo la uzi, tunaongelea wanafunzi waliopikwa pale UDSM zen wakageuka kuwa watu mashuhuri na viongozi wakubwa.Hakuna mtu mashuhuri aliyesomea UDSM[emoji1787]
Mi nakataa
Hahahahaaa unaumia ukiwa wapi kwa mfano? Umekosa watu mashuhuri waliosoma hapo Kenya sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitajie mtu mashuhuri aliyesomea UDSM
Wote uliowataja hakuna aliyepikwa UDSMusitake kubadili lengo la uzi, tunaongelea wanafunzi waliopikwa pale UDSM zen wakageuka kuwa watu mashuhuri na viongozi wakubwa.
Kwn ni mtu gani mashuhuri aliyesomea UDSMHahahahaaa unaumia ukiwa wapi kwa mfano? Umekosa watu mashuhuri waliosoma hapo Kenya sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaaa, mwingineeeeee, natumai leo itakuwa mwisho wa Wakenya kujisifu kuhusu ubora wa elimu baina ya hizi nchi mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wote uliowataja hakuna aliyepikwa UDSM