komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Alikua tayari keshakua mwana sheria hta kabla ya kuja UDSM[emoji1787][emoji1787]upoHuwa mnasema Watz wengi wanakuja Kenya kusoma, ss tunaomba mtutajie ni kina nani hao kama wapo tuwajue kwamba wamegraduate Kenya, mm naanza na huyu hapa mkenya aliye graduate pale UDSM na akaja kuwafundisha sheria huko kwenu, anaitwa Willy Mutunga.