Degree UON masters UDSM phd osgoode[emoji2960][emoji2960]DON'T TRY THIS!!
Hehehee UON alienda km lecturer na co student, both bachelor's and masters kazitoa UDSM[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kakupigia law katika vyuo vitatu tofauti...msingi kenya UON[emoji2960][emoji2960]
Nioneshe credible source inayosema alisoma degree UON[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Degree UON masters UDSM phd osgoode[emoji2960][emoji2960]
Eti tanzania elimu yake ni bora[emoji1787][emoji1787]ndio manake mkakata kutuletea km UDSM walipitia kufanya nn
Soma kwenye link hii hapa chini acha utopolo mkuuJamaa eti kaandaliwa UDSM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia education level ya huyi mzee, msingi kenya..chezea elimu yetu wewe
Km hujui kitu tulia jamani acha kuruka ruka jamani[emoji2960]View attachment 1728212
ETI NINI...mi sina time na umbea[emoji1787][emoji1787] ugua pole pole, jionee UON mzee baba ndio ulie vizuriHehehehehe huna haya unaleta source from wikipedia alafu unaziba juu isionekane km ni wikipedia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
Kwhyo unakataa biography yake[emoji1787][emoji1787]Soma kwenye link hii hapa chini acha utopolo mkuu
huu ugomvi unaotaka kuuanzisha huuwezi kuahinda 'nakuonya tuuDegree UON masters UDSM phd osgoode[emoji2960][emoji2960]
Eti tanzania elimu yake ni bora[emoji1787][emoji1787]ndio manake mkakata kutuletea km UDSM walipitia kufanya nn
Bora hata waongee Uganga mana hakuna asiyeijua Makerere iliyozalisha kina Nyerere but not UON, frankly speaking ckuwa naijua UON when I was child.Mkuu achana na hilo bwege linabisha kibwege sana!
Hahaha!!leo hapa hamtokihuu ugomvi unaotaka kuuanzisha huuwezi kuahinda 'nakuonya tuu
Kwamba wikipedia ndio source yako na unakataa source from Kenyan Law authority [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]ETI NINI...mi sina time na umbea[emoji1787][emoji1787] ugua pole pole, jionee UON mzee baba ndio ulie vizuriView attachment 1728220
ila we ni ndina 😂😂😂😂 asa hatuchomoki vipi wakati nyie hamjaweka hata mtu 1 mashuhuri from abroad alopitia hapo kunyaland?Hahaha!!leo hapa hamtoki
Hahaha!!leo hapa hamtoki
Hapa hata ukijifanya chizi kwamba hutaki kufungua link tunatembea na wewe, alafu ukahadithie wenzako[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]ETI NINI...mi sina time na umbea[emoji1787][emoji1787] ugua pole pole, jionee UON mzee baba ndio ulie vizuriView attachment 1728220
yani komora ni ndina hadi kero 😡😡Kwamba wikipedia ndio source yako na unakataa source from Kenyan Law authority [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1728225
Ila keshaelewa na Wakenya wenzie wote wameona na hawana cha kusema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani komora ni ndina hadi kero [emoji35][emoji35]
Wewe ndio moja ya watu wanaofikri Kenya ni sawa na USA hapa EAC!Guys hatuwezi kuwa serious watz hatuoni aibu kujishindanisha na Kenya?? Tena kwa upuuzi kama huu wenzetu Teknolojia yao sio level zetu si tupo tunaweka ligi za ajabu...
Kwaiyo majamaa yanaongozwa na dropouts yaani, ndio maana nchi inaendeshwa kama Genge fulani la wahuniSo far hamna chuo cha Kenya kimetoa President! BTW neither Kenyatta snr nor Moi had a degree! Aside Kibaki even Uhuru is doubted to have finished his degree!
CC: Tony254
Hahahahahaa hebu elezea kdg mkuu mana hii itazidi kuwauma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1728262
Mbona huyo mzee wao hayupo kwenye list?
So where are the alumni, what are they doingUON ndio chuo pekee EA kw sasa kikichojaa wanafunzi kutoka pande zote za afrika..