Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

DON'T TRY THIS!!
Degree UON masters UDSM phd osgoode[emoji2960][emoji2960]
Eti tanzania elimu yake ni bora[emoji1787][emoji1787]ndio manake mkakata kutuletea km UDSM walipitia kufanya nn
 
Degree UON masters UDSM phd osgoode[emoji2960][emoji2960]
Eti tanzania elimu yake ni bora[emoji1787][emoji1787]ndio manake mkakata kutuletea km UDSM walipitia kufanya nn
Nioneshe credible source inayosema alisoma degree UON[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehehe huna haya unaleta source from wikipedia alafu unaziba juu isionekane km ni wikipedia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

ETI NINI...mi sina time na umbea[emoji1787][emoji1787] ugua pole pole, jionee UON mzee baba ndio ulie vizuri
20210317_204948.jpg
 
Degree UON masters UDSM phd osgoode[emoji2960][emoji2960]
Eti tanzania elimu yake ni bora[emoji1787][emoji1787]ndio manake mkakata kutuletea km UDSM walipitia kufanya nn
huu ugomvi unaotaka kuuanzisha huuwezi kuahinda 'nakuonya tuu
 
Mkuu achana na hilo bwege linabisha kibwege sana!
Bora hata waongee Uganga mana hakuna asiyeijua Makerere iliyozalisha kina Nyerere but not UON, frankly speaking ckuwa naijua UON when I was child.
 
ETI NINI...mi sina time na umbea[emoji1787][emoji1787] ugua pole pole, jionee UON mzee baba ndio ulie vizuriView attachment 1728220
Kwamba wikipedia ndio source yako na unakataa source from Kenyan Law authority [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Screenshot_20210317-205552.jpg
 
Guys hatuwezi kuwa serious watz hatuoni aibu kujishindanisha na Kenya?? Tena kwa upuuzi kama huu wenzetu Teknolojia yao sio level zetu si tupo tunaweka ligi za ajabu...
Wewe ndio moja ya watu wanaofikri Kenya ni sawa na USA hapa EAC!

unahabari kwamba watu milioni 1.4 hapo Kenya watakufa njaa mwaka huu?
 
So far hamna chuo cha Kenya kimetoa President! BTW neither Kenyatta snr nor Moi had a degree! Aside Kibaki even Uhuru is doubted to have finished his degree!

CC: Tony254
Kwaiyo majamaa yanaongozwa na dropouts yaani, ndio maana nchi inaendeshwa kama Genge fulani la wahuni
 
Back
Top Bottom