Wakenya huchapwa na wachina bakora kama hawafuati maelekezo yao 😊😝

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Wenzetu wamekuwa wakipokea dozi za kichina kwa muda wote kuanzia ujenzi unaanza mpaka forever

Unaambiwa wanachapwa kama mandezi mchina mmoja tu anatosha kabisa kuwashughulikia ipasavyo idadi yoyote ya njemba za kikenya na somo likaeleweka barabara
 
Nikajua Kung Fu kumbe viboko daaah jirani zetu wazembe
 
Kama Mkenya anachapwa basi mtanzAnia anaweza kulawitiwa kabisa.

Mtanzania ni kiumbe dhaifu kuliko viumbe vyote kuwahi kutokea kwenye USO wa dunia

Ahaaa haaa haaa
acha povu kijana.
sisi tuna roho ya ukakamavu na ujeuri. hatutishwi na mtu kutokana na alichonacho. sisi tunajali UTU na siyo VITU. na ndiyo MAANA RAIS wetu JPM alisema, "mlisikia ya kuwa mwenye PESA anaweza KUFANYA lolote, lkn leo nawaambieni mwenye PESA anaweza KUFANYWA lolote", mwisho wa kunukuu.
 
Mbona mmezimiwa bunge live na hamfanyi Kitu?
 
Kama Mkenya anachapwa basi mtanzAnia anaweza kulawitiwa kabisa.

Mtanzania ni kiumbe dhaifu kuliko viumbe vyote kuwahi kutokea kwenye USO wa dunia
Aacha ujinga walijaribu Mara Wachina wakala kichapo na kuibiwa kila kitu. Hapa tu chuma kamili nyie mmezoea kuchapwa
 
Kama Mkenya anachapwa basi mtanzAnia anaweza kulawitiwa kabisa.

Mtanzania ni kiumbe dhaifu kuliko viumbe vyote kuwahi kutokea kwenye USO wa dunia
Wew sio hawa wa sasa. Maybe zaman lakin c kioind hiki. Mchina aje afanye hivyo halaf aone balaa lake
 
Mbona mmezimiwa bunge live na hamfanyi Kitu?

Ahaaa haaa haaa
kijana unaishi NCHI GANI?
Nenda bongo uone kama bunge halioneshwi!!! kila siku wanaonesha LIVE MPAKA saa 6 mchana. BTW kulilia kuoneshwa bunge LIVE ni SIASA tu. MAANA HAMNA mtu ambaye anaacha kazi zake muhimu kama za uvuvi, kilimo, udereva, biashara, ofisini n.k eti ashupalie bunge masaa yote. ni kitu kisichopatana na AKILI kabisa.
 
Aacha ujinga walijaribu Mara Wachina wakala kichapo na kuibiwa kila kitu. Hapa tu chuma kamili nyie mmezoea kuchapwa
Mpuuzi wewe kuna wabongo kibao wanakipwa 150,000 pale kwa Mohammed Dewij na Viwanda vya wahindi Maeneo ya mikocheni mbona husemi.

Ukute naongea na jitu halina Kazi lipo lipo tu kwa shemeji likikaa kwa hisani ya mauno ya Dada yake chumbani. Halijui kama kuna wabongo wamepigwa risasi na hao wachina kwenye miradi ya barabara. Tembelea miradi ya wachina bongo ujue vitu vilivyo. Sio unajichimbia kwenu uswahili kwenye vichochoro (Majalalani Tandale, Manzese, Tandika) unajiona umemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…