Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

Huyu Lazier ni wa kwenu kwani hata hilo jina linadhibitisha hilo.
 
Hatuna mda wakuchezea, angekua Kenya tungekua tushamtangaza dunia nzima itutambue.ila nyinyi kama kawaida yenu bado mnakenuakenua meno mkiacha fursa za kupiga mpunga zikienda
Atambulike mara ngapi wakati mpaka BBC wanamjua billionea mpya.
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
 
Ni jambo dogo ndio maana tumewazidi kwa idadi ya dollar millionaires, na huyo ameongezeka, so tunazidi kuwazidi idadi ya mafogo.

Endelea kuiita ni hela ya madafu
 
Hatuna mda wakuchezea. Angekua kenya tungekua tushamtangaza dunia nzima itutambue, ila nyinyi kama kawaida yenu bado mnakenuakenua meno mkiacha fursa za kupiga mpunga zikienda.
Nenda twitter.com search Tanzanite utaona habari zake zimeripotiwa na mainstream media kubwa zote duniani.
 
Hizo pesa mkenya wakawaida hawezi kuzipata,only corrupted politician ndio atapata za hivyo.
 
hatuna mda wakuchezea....angekua kenya tungekua tushamtangaza dunia nzima itutambue.ila nyinyi kama kawaida yenu bado mnakenuakenua meno mkiacha fursa za kupiga mpunga zikienda
B 7 dunia inakutambuaje?
 
Ni jambo dogo ndio maana tumewazidi kwa idadi ya dollar millionaires, na huyo ameongezeka, so tunazidi kuwazidi idadi ya mafogo.
Endelea kuiita ni hela ya madafu

Halafu matajiri wote Bongo ni waarabu na wahindi, kuna yule Mangi alikua anawakilisha nyeusi ila baada ya kuaga dunia hamna mwingine, kazi yenu kukusanyika na kuzaliana huko Tandale.
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Kwa hiyo sasa mnakubaliana na Knife frank waliposema idadi ya $Millionaires Tanzania inazidi idadi ya nchi zote za EAC combined?
 
Nimeshangaa Wakenya hadi sasa hawajamtambulisha huyu Laizer kwamba ni wa kwao na hiyo Tanzanite aliyoipata kaichimba Mererani ya KiambuuView attachment 1487911
Tulishasema siku nyingi tu kuwa TZ dollar millionaires wanazaliwa kila uchwao thnx to the new mining system, kila mwezi wananchi wa kawaida wanauza madini mbali mbali ktk masoko maalum 25 yaliyopo nchi nzima. Mauzo yasiyo pungua US$ 15 million, monthly.
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani...
Ni billionaire in US$
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…