Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
Amekunja Tz sh 7.74B ambayo ni sawa na $3.35M ,kwa nyumbani ni billionaire ila kimataifa ni $millionaire
 
Sportpesa jackpots watu walikuwa wanashinda almost that amount,
Huyo ni millionaire not billionaire.
Hahaha kumbe ni kushinda
Yaani unalinganisha jackpots earning na business earning?

Yupi mkenya alishinda kes million 380? Au 3.6M$?
 
Hahaha kumbe ni kushinda
Yaani unalinganisha jackpots earning na business earning?

Yupi mkenya alishinda kes million 380? Au 3.6M$?
Kuna mwenye alishinda takriban ksh 200 million.
 
Amekunja Tz sh 7.74B ambayo ni sawa na $3.35M ,kwa nyumbani ni billionaire ila kimataifa ni $millionaire

Hongera zake japo sasa taarifa zake mumeleta kwa Wakenya, ilipaswa mbadilishe neno bilionea na kuwa milionea ili mueleweke, maana kwa hela yetu mpaka uitwe bilionea itabidi ufanyie kazi.
 
Wacha wivu jirani. Sawa ni za madafu, lkn ndo kesha itwa bilionea.

Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
Milioni 359,000,000/- Ksh, ila pesa yenu ina nguvu sana hilo twapongeza
Screenshot_20200625-150214.jpeg
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
Gharama zile zile kama huwezi kumudu maisha yako kwa kua kipato chako kidogo bc we utakua uwezi tu hata ukilipwa kwa dola usilete propaganda hapa kwa thamani ya pesa .China ndio tishio kwa uchumi wa dunia sasa hivi, bc nao pesa zao tuite ela za madafu maana real 1 ni Tzs 5600 wakati yuan 1= 327 . Wenzako wanawaza kutumia kichwa sio wewe unatumia tope la kwenye makalio
 
Hata ikiwa hiyo 300million tu swali la msingi kuna mkenya yeyote anaweza kuipata kwa mkupuo awe tajiri au masikini anaweza
 
Povu ni la nini majirani? Mimi nimefanya tu coversion Tshs-KES. Unasema huyo manzi alikuwa na 2KES akapewa 45tzshs. walizitoa wapi wakati sarafu yenu ndogo kabisa ni shilingi mia? [emoji1] Hivi unajua hii bidhaa Kenya madukani unainua kilo mbili kwa hiyo hiyo bei ya kilo moja nchini Tz?
2370834_professorjaytz-20200417-0001.jpg
Ya mercury
 
Kwahiyo wakenya hawakawii kugeuza taarifa na kusema kuwa huyo billionaire ni wao na hayo madini yapo kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuwaulize wanamichezo hizi pesa alizopata huyu ndugu yetu zinatosha kumlipa mchezaji kama Messi au Ronado kwa miezi mingapi? Baada ya kupata jibu ndiyo tutajua njinsi Tanzania ilivyo maskini kwa kusema tumepata billioea.
Ki mahesabu ya biashara hizi ni pesa ndogo sana ambazo hazitoshi kuanzisha hata kampuni moja ya Said Salum Bakhressa.
 
Halafu matajiri wote Bongo ni waarabu na wahindi, kuna yule Mangi alikua anawakilisha nyeusi ila baada ya kuaga dunia hamna mwingine, kazi yenu kukusanyika na kuzaliana huko Tandale.
😂😂
FB_IMG_1592816567190.jpg
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
Jaribu kufanya conversation ya hiyo TSH 7.8B into USD ndo utajua jamaa atakuoa wewe na jamaa zako hapo nailii
 
Back
Top Bottom