Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Zile hela wanazoshinda wachezaji was Sports pesa.
 
naomba kuuliza hivi hela ikiwa na thamani na uchumi wa nchi unakua mkubwa kutokana na thamani ya hela,, je vipi kuhusu hela ya korea kusini na kenya, ya kenya ina thamani, je na kiuchumi pia mmewapita au?
Hivi jamaa ulipotelea wapi na kile kicheko chako!!!
 
naomba kuuliza hivi hela ikiwa na thamani na uchumi wa nchi unakua mkubwa kutokana na thamani ya hela,, je vipi kuhusu hela ya korea kusini na kenya, ya kenya ina thamani, je na kiuchumi pia mmewapita au?

Wale hela yao hata kama haina thamani lakini wana viwanda vyao vya ndani hivyo hawategemei sana kuagiza nje ya nchi, ila nyie huwa mnaagiza hata sindano, hamuna viwanda, mumejichokea kwenye umaskini leo mnataka kujifananisha na Korea Kusini.
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.

Hahahah, mnajikuta mkishika ma Kshs yenu mnaona dolari hiviii??
 
Hahahah, mnajikuta mkishika ma Kshs yenu mnaona dolari hiviii??

Nikivuka mpaka wakati nageuza kutoka Tanzania, huwa nabadilisha manoti yenu na kupewa ya kwetu, yaani ghafla milioni ya Tanzania inabadilika kuwa elfu kadhaa za Kenya, hunikera sana.
Japo pia nikiingia Tanzania nibadilishe noti za Kenya na kupewa za Tanzania, huwa natunisha mifuko na misimbazi ya hela yenu madafu yaani najiona milionea.
 
Usiseme uongo ndani ya watu wenye uelewa
 
Usiseme uongo ndani ya watu wenye uelewa

Uelewa upi unao, wengi mnaandika humu hamjawahi kutoka nje ya Tandale, waulize Watanzania ambao hukatiza huo mpaka kila siku wakupe darasa.
Au kama vipi ingia kwenye menu ya Voda ufanye kama unataka kutuma hela Kenya kisha uangalie exchange rate, utie kama milioni moja ya Tz itakuaonyesha mpokeaji atapokoea elfu ngapi za Kenya, uone hata hazijafika elfu hamsini za Kenya.
 
Kumbe hata pesa huzijui? Kwenye pesa hadi cents unazipata sema hazikusaidii kitu. Ukienda banks, 45 unaipata. Lkn kwa sasa sarafu iliyopo mtaani ni 50/-

Ukitaka 45/- utazikuta nyingi banks zimetulia tu
Povu ni la nini majirani? Mimi nimefanya tu coversion Tshs-KES. Unasema huyo manzi alikuwa na 2KES akapewa 45tzshs. walizitoa wapi wakati sarafu yenu ndogo kabisa ni shilingi mia? [emoji1] Hivi unajua hii bidhaa Kenya madukani unainua kilo mbili kwa hiyo hiyo bei ya kilo moja nchini Tz?
2370834_professorjaytz-20200417-0001.jpg
 
Back
Top Bottom