eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Burian the former (real) JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaNimeshangaa Wakenya hadi sasa hawajamtambulisha huyu Laizer kwamba ni wa kwao na hiyo Tanzanite aliyoipata kaichimba Mererani ya Kiambuu.
View attachment 1487911
Jaribu kufanya conversation ya hiyo TSH 7.8B into USD ndo utajua jamaa atakuoa wewe na jamaa zako hapo nailii
Burian the former (real) JF.
Zile hela wanazoshinda wachezaji was Sports pesa.[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Hivi jamaa ulipotelea wapi na kile kicheko chako!!!
naomba kuuliza hivi hela ikiwa na thamani na uchumi wa nchi unakua mkubwa kutokana na thamani ya hela,, je vipi kuhusu hela ya korea kusini na kenya, ya kenya ina thamani, je na kiuchumi pia mmewapita au?
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
Jombaa, kila mwaka wakenya huwa wanashinda jackpot ya mabilioni(kwa hela za madafu Tzshs), cha ajabu hapo ni kwamba unaringa kwasababu ya bahati ya mwenzako. K.m huyu hapa alijishindia 5.2 billion, Tzshs. [emoji1] Lucky Kenyan wins Sh230 Million SportPesa Jackpot
Hahahah, mnajikuta mkishika ma Kshs yenu mnaona dolari hiviii??
Nikivuka mpaka wakati nageuza kutoka Tanzania, huwa nabadilisha manoti yenu na kupewa ya kwetu, yaani ghafla milioni ya Tanzania inabadilika kuwa elfu kadhaa za Kenya, hunikera sana.
Japo pia nikiingia Tanzania nibadilishe noti za Kenya na kupewa za Tanzania, huwa natunisha mifuko na misimbazi ya hela yenu madafu yaani najiona milionea.
Usiseme uongo ndani ya watu wenye uelewa
Povu ni la nini majirani? Mimi nimefanya tu coversion Tshs-KES. Unasema huyo manzi alikuwa na 2KES akapewa 45tzshs. walizitoa wapi wakati sarafu yenu ndogo kabisa ni shilingi mia? [emoji1] Hivi unajua hii bidhaa Kenya madukani unainua kilo mbili kwa hiyo hiyo bei ya kilo moja nchini Tz?![]()