masomo kidogo ni muhimu ndugu watu wanaongelea lugha wewe umekuja na ubishi mwingi eti wezi, nyang'au blablabla....atleast unge fake ubongo wako kidogo angalau uonekane kama mtu aliyekanyanga ndani ya darasa; lakini wewe umeweka ujinga wako wazi watu wauone