Wakenya huzungumza Lugha ipi kwa ufasaha??

Wakenya huzungumza Lugha ipi kwa ufasaha??

Lakini hayo ni maandishi I.e typing error sidhan Kama tunawafanikia kwa kiingereza. Linganisha speech za Kenyatta na za magufuli
 
Hawa zaidi ya kugha zao za kikabila, hakuna hata lugha moja wanayoongea kiufanisi, wezi wazushi tu, nyang'au kabisa..
masomo kidogo ni muhimu ndugu watu wanaongelea lugha wewe umekuja na ubishi mwingi eti wezi, nyang'au blablabla....atleast unge fake ubongo wako kidogo angalau uonekane kama mtu aliyekanyanga ndani ya darasa; lakini wewe umeweka ujinga wako wazi watu wauone
 
Vile sisi hupenda kuchanganya swahili and English so tunaongea kwa Kiswanglish in Mkenya's voice
 
Back
Top Bottom