johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Lakini hayo ni maandishi I.e typing error sidhan Kama tunawafanikia kwa kiingereza. Linganisha speech za Kenyatta na za magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masomo kidogo ni muhimu ndugu watu wanaongelea lugha wewe umekuja na ubishi mwingi eti wezi, nyang'au blablabla....atleast unge fake ubongo wako kidogo angalau uonekane kama mtu aliyekanyanga ndani ya darasa; lakini wewe umeweka ujinga wako wazi watu wauoneHawa zaidi ya kugha zao za kikabila, hakuna hata lugha moja wanayoongea kiufanisi, wezi wazushi tu, nyang'au kabisa..