The King of Kings
Member
- Oct 21, 2020
- 59
- 80
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know the area, nilibanwaga na uharisho, ferry la kwanza nikakosa, la pili nikapambana, aise niliteseka sana, fortunately niliwahi hotelini, ni kaenda jisaidia huko, bora hata wamewawekea iyo bridge, though nilidhani ni ya vehicles pia, kumbe ni ya watu tu, sio mbaya lkn.300,000 people huwa wanavuka Likoni channel kila siku. Sasa kati yako na serikali ya Kenya nani ndio mjinga? Hawa watu wote walikuwa wanafinyana ndani ya ferry hata social distancing hawawezi kufanya ili kuzuia corona. Saa zingine foleni ya kupanda ferry ilikuwa 2 kilometres long. This bridge is important to the people of that area. Wewe endelea kulia.
Watu 300k hawapaswi kuvuka kwa kutumia mguu haijalishi ni kwenye daraja au ferry, hiyo idadi ni kubwa mno
Kufanya hivyo ni kuzorotesha maendeleo ya nchi sababu manpower kubwa inapoteza muda kwenye kuvuka kaeneo kadogo badala ya muda huo kufanya kazi
Kila mtu akipoteza saa 1 kwenye harakati za kuvuka daraja au ferry mara 300k ni masaa kiasi gani ya uzalishaji yamepotea? Ni pesa kiasi gani zimeondoka kwenye mzunguko?
Tena nasikia hilo daraja wananchi hawalitaki sababu lilipojengwa ni mbali na linawaongezea masaa mengi zaidi ya kupoteza kwenye kuvuka tu hako kaeneo, kinawashinda nini kujenga daraja kubwa magari ndio yawavushe?
There is no permanent bridge at Likoni because the channel is used by ships going to Mombasa port ,building a bridge would block their path .
Kwani wewe hujui kwamba daraja la footbridge linatumika?na mbona daraja halijafunguliwa mpaka sasa?
Uliwezaje kubana uharisho? Hio huwa haibaniki. Pole kwa mateso uliyopitia.I know the area, nilibanwaga na uharisho, ferry la kwanza nikakosa, la pili nikapambana, aise niliteseka sana, fortunately niliwahi hotelini, ni kaenda jisaidia huko, bora hata wamewawekea iyo bridge, though nilidhani ni ya vehicles pia, kumbe ni ya watu tu, sio mbaya lkn.
You should look for plan B, construct a tunnelThere is no permanent bridge at Likoni because the channel is used by ships going to Mombasa port ,building a bridge would block their path .
evidence?Kwani wewe hujui kwamba daraja la footbridge linatumika?
wapi 3 km bridge?Kuna permanent bridge inayoitwa Mombasa gate bridge ambayo itaanza kujengwa mwaka huu kuanzia mwezi wa June. Litakuwa ndefu zaidi ili kuruhusu meli (hata meli kubwa ya post-panamax) kupita chini na magari kupita juu. Litakuwa 70 metres high making it one of the tallest bridges in Africa
View attachment 1674186
View attachment 1674187
Details of New Ksh82B Mombasa Gate Bridge [VIDEO]
- By EDDY MWANZA on 3 January 2021 - 2:03 pm
![]()
- An artistic impression of the Mombasa Gate Bridge.
FILE- In June 2021, construction work will begin on one of Kenya's most ambitious projects, the Mombasa Gates Bridge (MGB).
Estimated to cost Ksh82 billion, the bridge will connect Mombasa Island with the South Coast, replacing a ferry operation, which first began operation in 1937, and the recently opened Liwatoni floating footbridge.
A feasibility study carried out by the Kenya National Highway Authority (KeNHA) for the 1.4km bridge is now complete and construction of the link bridge is expected to take 36 months to complete.
The cable-stayed/powered bridge will carry four traffic lanes and will be 69-Metre high at mid-point, leaving sufficient space for ships to pass underneath so as to access the busy Kilindini area of the port.- https://www.google.com/amp/s/www.kenyans.co.ke/news/60744-details-new-ksh82b-mombasa-gate-bridge-video?amp=1
300k ni namba kubwa sana, inatosha kuwajengea decent bridge la kuvusha magari pamoja na pedestrians, kama Tz tulivojenga Kigamboni, na tunavojenga Sarenda na Kigongo Busisi kule Mwqnza,300,000 people huwa wanavuka Likoni channel kila siku. Sasa kati yako na serikali ya Kenya nani ndio mjinga? Hawa watu wote walikuwa wanafinyana ndani ya ferry hata social distancing hawawezi kufanya ili kuzuia corona. Saa zingine foleni ya kupanda ferry ilikuwa 2 kilometres long. This bridge is important to the people of that area. Wewe endelea kulia.