Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
- #21
Hapana rafiki...Ohhhhh!!!....Ok,Mimi nikafikiri unatafuta dume kwa nguvu rafiki!
Dume ninalo muda tu...
Ntakupa kadi ya mwaliko soon[emoji132] [emoji183]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana rafiki...Ohhhhh!!!....Ok,Mimi nikafikiri unatafuta dume kwa nguvu rafiki!
Hilo dume lako liko fiti kweli?Siyo dume la Dar rafiki??Hapana rafiki...
Dume ninalo muda tu...
Ntakupa kadi ya mwaliko soon[emoji132] [emoji183]
Haha sio la tzee...Hilo dume lako liko fiti kweli?Siyo dume la Dar rafiki??
Ok,sawa!!.....Rafiki nilitaka nitoe msaada mara moja kama hilo dume lingekuwa haliko fiti![emoji1]Haha sio la tzee...
Liko fiti [emoji276]
Habari JF...
Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???
Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???
Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
Haha sijamaanisha kua natafuta...Niko tayari...nitumie message kwa inbox
Kama wewe ni mwanamke mrembo ni inbox basi.Habari JF...