Wakenya jamani...

Wakenya jamani...

wakenya tunapenda haga kubwa kubwa aka makalio ama ukipenda wowowo, sura doesnt mata. tunakulaga omera.
 
Habari JF...

Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....

Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???

Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???

Niko tayari...nitumie message kwa inbox
 
Habari JF...

Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....

Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???

Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
Kama wewe ni mwanamke mrembo ni inbox basi.
 
wacha tuanzishe jukwaa la love chini ya kenyan news....ndio kuwake moto vizuri warembo watz wakichukuliwa na wakenya.kusikalike hapa kiukweli
 
Heheehee!! naona mnatubeep, haya wanaume wa Dar wasianze kulia lia maana tutawapokonya mademu live tu, ila mleta mada hiyo picha kwa avatar kama ni yako, jameni nikija Dar nitakutafuta, hata kama una dume siogopi, sisi Wakenya banaa huwa tunatamba tu.
Nimeipenda sana aisei, yaani acha. Nipe ruhusa nikutafute, usiwe na wasiwasi maana sitakusudia mambo ya mapenzi, nakuja tuserebuke tu, tuashe moto Dar, yaani unipe company na uzuri wako huo halafu nigeuze. Twende Kigamboni, twende Cocoa beach pia, yaani kote kote huko.

Halafu mbona nipo siku nyingi kwenye JF MMU, yaani kule kwa mambo ya mapenzi. Tatizo huwa nakuta kule ni vijembe tu, wanaume wa Dar hawajui kubembeleza mademu.
 
Back
Top Bottom