Wakenya kazi mnayo, ina maana Wachina wakichukua port ya Mombasa wana uwezo wa kuchukua na sehemu nyingine ya nchi?

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
828
Reaction score
709
Huwa nakisikia haya majamaa yanavyoongea kwa kujigamba unaweza ukahisi hii dunia ni mali yao, kumbe kazi ya ni kusaini tu mikataba bila hata kuangalia ina athari gani.
Kuna Mkenya humu kaandika uzi kwa majigambo akishangilia kuona viongozi wake wakisaini mikataba ya EPA bila hata kuangalia nn madhara yake. Hongera sana Magu kwa kuikataa EPA na Bagamoyo project mpaka kieleweke
Wakati ule Kenyatta alivyoenda China kusaini mikataba ya kukopa fedha y kujenga reli Nyumbu kama kawaida yao mlishangilia sana. Sasa ona hii someni wenyewe mie sipo

Hua Chunying:Our decision to take over Mombasa port is only a favour.Kenya owes China a lot -

Kenya in trouble as China threatens to take over Mombasa Port Next year -
 
Naona baada ya kulemewa kuendeleza umbea wako, kuhusu East African Airways. Umeamua sasa kuingia kichwa kichwa kwenye masuala ya bandari ya Mombasa wakati hata huna ufahamu kwamba Kenya haijashindwa kulipa deni na wala muda wa kulipa deni lenyewe hujakamilika.
 
Pita hapa usikie deputy director foreign ministry information deparrment aki-confirm
 
Akiconfirm nini? Wewe umepitia hapo ukaona neno IF, kiingereza kikikukanganya tafuta tafsiri kwa kiswahili.

wewe hujui, nini MAANA ya phrase "signalling effects of public announcements on shares value and credit rating".

the word "if" which gives you relief and comfort, could not be used if Chinese didn't notice the possibility of defaulting after a grace period.
Chinese are not crazy to utter such a statement. they smelled something of danger to their money, this is way they are giving you the calling message..
 
Pita hapa usikie deputy director foreign ministry information deparrment aki-confirm

Ahaaa haaa haaa
the only thing that gives relief and makes kenyans feel comfortable in this issue is the sensitivity term "IF".

but they don't recall that even Zambians were told the same statement over their Lusaka Airport later ZESCO.
wajipange tu.
Teh teh teh tihiii
 
What loan payment has been defaulted so far and what was the loan repayment period? Which grace period are you talking about? You are the expert on this Chinese loan, inform us.
 
What loan payment has been defaulted so far and what was the loan repayment period? Which grace period are you talking about? You are the expert on this Chinese loan, inform us.

Ahaaa haaa haaa
huu mchezo hauhitaji HASIRA. povu tuweke pembeni.
Chinese are the ones who operate your SGR. no information asymmetry. they KNOW each and everything that takes place in the SGR. they came to realise that the numbers are not adding up. the project is not at break even point. you are taking your money to run the facility, while the project behaves like that, the due date is around the corner. now tell me what next.
 
Kuulizwa maswali ndio unaita hasira? Hujajibu swali langu hata moja, unatupia tu porojo na umbea bila ya kusema lolote la maana.
 
basi isiwe taabu ndg yangu. acha tu hiyo "IF" iendelee kuwapa afuweni. lkn WAKATI utaamua.

Ukiona mtu anamkumbatia mbwa mwitu ndani ya chumba ili hali amehifadhi nyama humohumo ujue ni tahira.
Chinese ni sawa na mbwa mwitu hawa hawana urafiki na mtu
 
Ukiona mtu anamkumbatia mbwa mwitu ndani ya chumba ili hali amehifadhi nyama humohumo ujue ni tahira.
Chinese ni sawa na mbwa mwitu hawa hawana urafiki na mtu
Mchina ni mbwa mwitu wakati MNA deni lake la dollar billioni mbili?? nyie ndio mnaopaswa kuwa mnaogopa kwani mchina sioni akiwasamehe deni vile WB, IMF na Brazil zimezoea kuwasamehe madeni. Ukiona mwenzenu Zambia akinyolewa tia chenu maji.
 
Kuulizwa maswali ndio unaita hasira? Hujajibu swali langu hata moja, unatupia tu porojo na umbea bila ya kusema lolote la maana.
Wewe utakuwa mmojawapo wa mafisadi wa Kenyatta siyo Burr wenzako wote wanapita kimya kimya huku wananajipigapiga vifua vyao kwa uchungu wewe unatingisha makalio na kuona fahari !!!
 
Geza Ulole wapi taarifa ile yako ya Bagamoyo kujengwa mwaka huu? ama umesahau Mchina unayekashifu ndiye mkandarasi? kilaza wa CCMu
 
Hivi Watanzania hili la bandari hadi leo mnalijadili, kweli hamlali... lakini ndio hivyo tutazidi kuwaacha nyuma hadi msage meno.
 
Hivi Watanzania hili la bandari hadi leo mnalijadili, kweli hamlali... lakini ndio hivyo tutazidi kuwaacha nyuma hadi msage meno.

Hakika mnatuacha kwa ukubwa wa mikopo.

Kopeni muwezavyo.
 
Hakika mnatuacha kwa ukubwa wa mikopo.

Kopeni muwezavyo.

Nyie ndio huwa sielewi mikopo mnapeleka wapi, nchi maskini ya kutupwa ila deni la taifa linazidi kuvimba, zamani mlikua mnasamehewa ila siku hizi naona wazungu wamewanunia baada ya kuwashtukia kwa ukandamizaji wa upinzani. Mnabanwa mlipe hadi shilingi ya mwisho, nilishangaa hadi ndege yenu ilikamatwa....hehehe ndio tukio la kwanza duniani, sijawahi kuskia kwengine.
Labda ndio maana hamtaki ndege zenu zitoke nje hadi zinagongwa huko huko kwenye uwanja wa ndege kama hili tukio la juzi mlilolizima na kuficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…