Wakenya kazi mnayo, ina maana Wachina wakichukua port ya Mombasa wana uwezo wa kuchukua na sehemu nyingine ya nchi?

Nyie ndio huwa sielewi mikopo mnapeleka wapi, nchi maskini ya kutupwa ila deni la taifa linazidi kuvimba, zamani mlikua mnasamehewa ila siku hizi naona wazungu wamewanunia baada ya kuwashtukia kwa ukandamizaji wa upinzani. Mnabanwa mlipe hadi shilingi ya mwisho, nilishangaa hadi ndege yenu ilikamatwa....hehehe ndio tukio la kwanza duniani, sijawahi kuskia kwengine.
Labda ndio maana hamtaki ndege zenu zitoke nje hadi zinagongwa huko huko kwenye uwanja wa ndege kama hili tukio la juzi mlilolizima na kuficha.

Ndege ilizuiwa kwa sababu nyingine kabisa wala si siyo hiyo.na nje zitatoka sana,utashuhudia hilo kabla hujafariki.

Kuhusu wewe kujua pesa za mikopo zinakwenda wapi[emoji23][emoji23],hilo sitaki nikwambie kwa sababu umeamua kukataa kuona.
 
Nyie ndio huwa sielewi mikopo mnapeleka wapi, nchi maskini ya kutupwa ila deni la taifa linazidi kuvimba, zamani mlikua mnasamehewa ila siku hizi naona wazungu wamewanunia baada ya kuwashtukia kwa ukandamizaji wa upinzani. Mnabanwa mlipe hadi shilingi ya mwisho, nilishangaa hadi ndege yenu ilikamatwa....hehehe ndio tukio la kwanza duniani, sijawahi kuskia kwengine.
Labda ndio maana hamtaki ndege zenu zitoke nje hadi zinagongwa huko huko kwenye uwanja wa ndege kama hili tukio la juzi mlilolizima na kuficha.

Kwani hizo mnazokopa Kenya zinaishia juu kwa juu hata hazifiki kwenye lengo mnafikiri hatujui?
 
Mchina ni mbwa mwitu wakati MNA deni lake la dollar billioni mbili?? nyie ndio mnaopaswa kuwa mnaogopa kwani mchina sioni akiwasamehe deni vile WB, IMF na Brazil zimezoea kuwasamehe madeni. Ukiona mwenzenu Zambia akinyolewa tia chenu maji.
Nyie mnadaiwa ngapi?

Afu usiwe na khofu kwa Tanzania, wachina ni washkaji zetu sana uku Tanzania. Tunajua kula nao sahani moja 😀 Tukishindwa watatusamehe tu
 
Hakuna undugu kwenye biashara.
 
Hakuna undugu kwenye Biashara ila wachina tumewaweza.... tunakula nao sahani moja. Mashirikiano baina yetu na wao ni mazuri mno sana....

Kawaida mlikua mnawaachia wanatafuna nchi kwa kutumia hilo la undugu, ila siku hizi mnakamata na kuwafunga, juzi mumekamata na kumfunga malkia wa pembe za ndovu, mkiendelea hivyo watakosa cha kutafuna waishie kuwabadilikia.
 
Ukitaka kula ukubali kuliwa na wewe. Na ndio tulivokuwa tunacheza nao hawa. badala ya wao kutula sisi tu, na sisi imetubudu na wao tuwale. Afrika tumeshazoea kila mara mabeberu wanatuibia kupitia viongozi corrupted na ukiwa kinyume nao hao mabeberu basi watakuhujumu. Sasa TZ imeelewa vyema kucheza hii game. Sisi tunawala kwa design hio, tukidefault tutakaa ikulu na kunenguana meno.

Majirani mnatakiwa hawa jamaa muwape mlo huko ili mkidefault waone haya ata kuwadai vyenginevyo watachukua hio MSA port.
 
Hii kauli nyie hamna jeuri yake, nyie huliwa tu maana nchi yenu ina kila kitu, mlifaa kuongoza Afrika kiuchumi lakini la kushangaza yaani zaidi ya miaka hamsini tangu uhuru bado mpo maskini wa kutupwa ilhali mabeberu wanachuma kila siku.
 
China na TZ wanauhusiano mzuri sana mno. Nakwambia hata kama tuta default, tutakaa nao ikulu na kuwapa chai ya maziwa na story mbili tatu. Kwa sababu hawa jamaa tunawajua kinaga ubaga. Sisi hatuna haraka ya utajiri Tanzania. Kuna nchi zimeizidi TZ "kiuchumi" lakini hazina amani na watu wanaishi maisha ya kutisha heri ya TZ mara mia.

Sasa yale mataifa ya Afrika yanayotaka utajiri wa haraka ndio wanaishia kupatwa na majanga. By the way ata Kenya ni masikini wa kutupwa, in fact, izi nchi kusini mwa sahara zote masikini tu
 
Hilo la undugu wenu na Mchina sijabisha maana kwa kweli hilo shamba la bibi amelitafuna sana yule mdau wa Mashariki, tatizo hanaga huruma, angekua anawaachia japo makopo maana sio kwa umaskini huo wenu.
 
Malipo yetu kutoka kwake ndo hizo pesa anazotukopesha. Na sisi tunampiga humo humo... ndo nikakwambia, tukidefault mchina ataeka sura chini. Sasa nyinyi mnaotaka kula pekeenu kwa uchoyo na haraka ya maendeleo, mkidefault mmeumia.

Tanzania tunajua kula na kipofu
 
Back
Top Bottom