mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Nyie ndio huwa sielewi mikopo mnapeleka wapi, nchi maskini ya kutupwa ila deni la taifa linazidi kuvimba, zamani mlikua mnasamehewa ila siku hizi naona wazungu wamewanunia baada ya kuwashtukia kwa ukandamizaji wa upinzani. Mnabanwa mlipe hadi shilingi ya mwisho, nilishangaa hadi ndege yenu ilikamatwa....hehehe ndio tukio la kwanza duniani, sijawahi kuskia kwengine.
Labda ndio maana hamtaki ndege zenu zitoke nje hadi zinagongwa huko huko kwenye uwanja wa ndege kama hili tukio la juzi mlilolizima na kuficha.
Ndege ilizuiwa kwa sababu nyingine kabisa wala si siyo hiyo.na nje zitatoka sana,utashuhudia hilo kabla hujafariki.
Kuhusu wewe kujua pesa za mikopo zinakwenda wapi[emoji23][emoji23],hilo sitaki nikwambie kwa sababu umeamua kukataa kuona.