1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea
2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali nyingi zenye neema ya rasilimali huwa zinaandamwa na foreign forces na influences
ebu TUIPENDE NCHI YETUKWA WIVU MKUBWA.
3, Sio kwamba Samia ni rais mzuri sana kuliko wote kama ana mapungufu ebu tu deal naye kwa ustaarabu tutumie njia rasmi tumkemee mitandaooni kwa heshima na adabu naomba na Rais uwe unasikiliza maoni ya wananchi wasijenge chuki mioyoni mwao
4.Tuanze kufuatilia kwa ukaribu sana wanaharakati waliopo kenya tupenyeze majasusi wetu kwenye hizo taasisi na tuzishughulikie kweli kweli na wahusika tuwaguse kweli kweli wasiendelee kutuchafua kama wanalipwa hela ziwatokeee hewani
5. MHUHURI WA MOTO UANZE KUTEMBEA KWA KILA ANAYETUNENEA MABAYA KAMA NCHI HII KENYA TUWASHUGHULIKIE KWELI KWELI