Kufanya uchaguzi wa kweli usio wa kitapeli ndilo jambo muhimu zaidi la kuipenda nchi yako1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea
2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali nyingi zenye neema ya rasilimali huwa zinaandamwa na foreign forces na influences
ebu TUIPENDE NCHI YETUKWA WIVU MKUBWA.
3, Sio kwamba Samia ni rais mzuri sana kuliko wote kama ana mapungufu ebu tu deal naye kwa ustaarabu tutumie njia rasmi tumkemee mitandaooni kwa heshima na adabu naomba na Rais uwe unasikiliza maoni ya wananchi wasijenge chuki mioyoni mwao
4.Tuanze kufuatilia kwa ukaribu sana wanaharakati waliopo kenya tupenyeze majasusi wetu kwenye hizo taasisi na tuzishughulikie kweli kweli na wahusika tuwaguse kweli kweli wasiendelee kutuchafua kama wanalipwa hela ziwatokeee hewani
5. MHUHURI WA MOTO UANZE KUTEMBEA KWA KILA ANAYETUNENEA MABAYA KAMA NCHI HII KENYA TUWASHUGHULIKIE KWELI KWELI
Nyie mmekataliwa na watanzania sio wakenya1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea
2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali nyingi zenye neema ya rasilimali huwa zinaandamwa na foreign forces na influences
ebu TUIPENDE NCHI YETUKWA WIVU MKUBWA.
3, Sio kwamba Samia ni rais mzuri sana kuliko wote kama ana mapungufu ebu tu deal naye kwa ustaarabu tutumie njia rasmi tumkemee mitandaooni kwa heshima na adabu naomba na Rais uwe unasikiliza maoni ya wananchi wasijenge chuki mioyoni mwao
4.Tuanze kufuatilia kwa ukaribu sana wanaharakati waliopo kenya tupenyeze majasusi wetu kwenye hizo taasisi na tuzishughulikie kweli kweli na wahusika tuwaguse kweli kweli wasiendelee kutuchafua kama wanalipwa hela ziwatokeee hewani
5. MHUHURI WA MOTO UANZE KUTEMBEA KWA KILA ANAYETUNENEA MABAYA KAMA NCHI HII KENYA TUWASHUGHULIKIE KWELI KWELI
mimi nilikuwa na VPN kila seckunde tano youtube channel ya rogers kakasungura, Knyan M, simulizi kenya na zingine kama 6 ni story za kuchochea tu kuwa karibu G AND Z WANACHUKUA IKULU MARA KARIBU SIJUI NINI YAANI ni uchochezi tu mara airport imevamiwa wanatuma zile video za msiba wa magufuli , mara maaanadamano makubwa ukiandalia unakuta magari ya polisi sio PT NI NUMBER ZA sudan , sasa kwa nini walikuwa front kimbelembele?Nyie mmekataliwa na watanzania sio wakenya
Msiendelee kutuharibia nchi yetu Kwa majirani zetu
Kubalini mmekataliwa ingawa inauma sana kukataliwa