Wakenya Kulikoni Kutapeli Waislamu?

Duh!!yani jamaa na akili zao wameshapiga hela..hta hofu ya Mungu hawana kabisa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani nmecheka sana hta mm
Mbona wakenya wengine wakitapeliwa hua hatusemi "wakristo" watapeliwa?????? Acha kuingiza udinindani ya hilo tendo, mtapeli ni mtapeli, na mtapeliwa ni mtapeliwa, hakuna cha dini wala nini,
 
Kwani hao waislam sio wakenya au kuna kabila au nchi ambayo inaitwa waislamu?
 
Sisi waswahili husema Mjini shule, Yaani kuzaliwa mjini pekee ni sawa na Kidato cha nne wa kijijini,
Japo wengine tumetoka vijijini na sasa tushakuwa wa mjini zaidi ya waliozaliwa mjini,
Maisha ni kama kioo, ukiyachekea nayo yanacheka, ukinuna pia yananuna[emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2]
Watu wanaingia kingi, Watu wanaweka na mihemko ya imani halafu wanapigwa pesa, Watoto wa Mujini wanatengeneza pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…