Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Waislamu kukosa Hijja baada ya ''kutapeliwa'' maelfu ya dola na Wakala wa Hajj nchini Kenya
bbc.in
Waislamu kukosa Hijja baada ya ''kutapeliwa'' maelfu ya dola - BBC News Swahili
Takriban Waislamu 30 nchini Kenya wanadaiwa kushindwa kusafiri kwenda Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza nguzo muhimu katika dini ya kiislam ya Hijja baada ya kutapeliwa na wakala nchini Kenya