Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa nafuatilia siasa za Kenya na kipindi hiki cha kampeni, huyu jamaa simuelewi kabisa kutokana na kauli zake.True colour inajionyesha...na Kenyatta keshamwambia atatambua kuwa yeye ndio Raisi wa Kenya ..hawezi pewa nchi coz ana hasira kwa watu wengi ..akiingia ataumiza watu..so hawezi achiwa akaongoza kenya
Aiseee, sasa mbona yeye mwenyewe tayari kasema Raila asijaribu kufanya aliyofanya huko nyuma, means hawezi kubali any fake results na anaeza anzisha zurugu huyo mtu!.Yaani upige kura usipige kura tayari lazm Odinga atangazwe ilishapangwa hii.
Hujamuelewa jombaa, anamaanisha kwamba ana imani kwamba atashinda. Ila hana imani kwamba Raila atakubali matokeo. Kwamba Raila akianza chokochoko, kama zilizopelekea kujiapisha kwake uchaguzi wa 2017, hatakuwa 'soft' kwake kama rais UK. Eti watapelekeshana hadi kieleweke.Aiseee, sasa mbona yeye mwenyewe tayari kasema Raila asijaribu kufanya aliyofanya huko nyuma, means hawezi kubali any fake results na anaeza anzisha zurugu huyo mtu!.
Raundi hii anayeshindwa itabidi aelekee mahakamani. Hatutakubali fujo mitaani.I understand pingli-nywee ila why anatuinyesha hawezi kukubali matokeo yoyote yawe ya kweli au uongo au anajua lazima ashinde?.
Huyo anatapata hata wakuu wa ulimwengu wa kiroho awamkubali Ruto yaani hayupo hata kwenye radar zao,Ruto ni running president candidate kama mkimbiza upepo tu.Aiseee, sasa mbona yeye mwenyewe tayari kasema Raila asijaribu kufanya aliyofanya huko nyuma, means hawezi kubali any fake results na anaeza anzisha zurugu huyo mtu!.
Bado siku 5.fala ni wewe na mamako huyo odinga wako atakuwa rais wa mamako nyumban kwenu
Arakayeshindwa au ambaye hatotangazwa??Raundi hii anayeshindwa itabidi aelekee mahakamani. Hatutakubali fujo mitaani.