Hujamuelewa jombaa, anamaanisha kwamba ana imani kwamba atashinda. Ila hana imani kwamba Raila atakubali matokeo. Kwamba Raila akianza chokochoko, kama zilizopelekea kujiapisha kwake uchaguzi wa 2017, hatakuwa 'soft' kwake kama rais UK. Eti watapelekeshana hadi kieleweke.
Kumbuka kwamba kashfa zote hizo na ukomavu wa rais Kenyatta kidiplomasia ndio zilisababisha ile 'handshake' kati yake na RAO. Handshake ambayo mwishowe ilimfanya Arap Ruto apigwe 'sub', ndani ya serikali ambayo yeye ndiye aliyekuwa captain msaidizi.