Kenya 2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

Kenya 2022 General Election
May the will of Kenyan people prevail. "My friend" akishinda well and good. Equally Baba akishinda, safi pia. Where i get hazy hili la mgombea kupiga kampeni tangu 2013 linashangaza kweli. Wajameni uongozi, is it a matter of life and death?
 
Raila akiukosa Urais wa Kenya lazama apate stroke na afya yake itakuwa kama ya Lowassa
 
Aseee Kalunya nimekuelewa kwenye reply yako, japo umewadokeza deep state kazi zao na kumpa mzee baba Omoro nchi ila mimi bado najiuliza, huyu jamaa Ruto atakubali kushindwa kulingana na kauli zake?.
The hague inamhusu.
Mbona Odinga alilazimishwa kukubali japo aliibiwa.
Labda yakija tokea kama ya tza Ruto aje apambane na Martha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…