Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niaje wazeiyaaaaaaaah.....
EBANA SAWA:
Nyie wakenya mbona hamueleweki mko fluent in English, Swahili or Kikuyu ...
Yaani mnapoongea, mnapoandika na vile mnavo mix maneno na lugha basi hata hamueleweki mnatumia lafudhi gani....
Kizungu sio kizungu.. Kiswahili sio Kiswahili... Kikuyu sio Kikuyu...
Yaani mpo mpo tuuu... Chagueni moja basi....
Hamuoni jirani zenu wanatumia lafudhi nzuri maridhawa ya Kiswahili safi kabisa.
Mnajua ndio maana hata muziki wenu umekufa, Jirani zenu wamekuja kuteka market KE nzima...
Badilikeni bana.. Kuweni na lafudhi nzuri maridhawa maridadi yenye mvuto.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Ulishawahi kusikia waCongo au WaZambia wakiongea Kiswahili?
Wanigeria au Wahindi wakiongea Kingereza?
Sio lazima waongee Kiswahili fasaha ambapo hata Watanzania wengi hatuwezi kuongea Swahili fasaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umuhimu wa lugha ni mawasiliano sio ueledi. Perfection is for idlers
When someone wakes up at 5am to post something so lame yet somehow calls himself an engineer.... leaves me wondering about their mental capabilities but most of all if they really ever saw the gates of a college!Niaje wazeiyaaaaaaaah.....
EBANA SAWA:
Nyie wakenya mbona hamueleweki mko fluent in English, Swahili or Kikuyu ...
Yaani mnapoongea, mnapoandika na vile mnavo mix maneno na lugha basi hata hamueleweki mnatumia lafudhi gani....
Kizungu sio kizungu.. Kiswahili sio Kiswahili... Kikuyu sio Kikuyu...
Yaani mpo mpo tuuu... Chagueni moja basi....
Hamuoni jirani zenu wanatumia lafudhi nzuri maridhawa ya Kiswahili safi kabisa.
Mnajua ndio maana hata muziki wenu umekufa, Jirani zenu wamekuja kuteka market KE nzima...
Badilikeni bana.. Kuweni na lafudhi nzuri maridhawa maridadi yenye mvuto.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Ukiambiwa ukweli una catch ....yaitwa Diversity ...just like black people in america cannot say ask but aksWE nawe ndio wale wale.... Zero kabisa. Empty. Nothing.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
WE nawe ndio wale wale.... Zero kabisa. Empty. Nothing.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Anaongea kiswahili sawia ukimlinganisha na nani?Uhuru pekee yake ndio anaongea kiswahili sawia
Mbona unatalk mawords mob Kama mwantumu wa kimbangulile .....Hehehe! Huwa mna nongwa sana nyie, hamkawii kuibuka na hizi mada za kupimana urefu wa dushe. Nimewaambia mara si haba kwamba Wakenya hatuwezi fugwa kwenye zizi la lugha moja kama mazombi, sisi ni wajanja wa lugha, tunaongea nyingi.
Tunapenda zetu za asili, na tunaongea pia za kigeni. Hii ndio sababu moja ambayo imetufanya kuwa wajanja zaidi ya raia wa nchi zote ukanda huu wote wa Afrika Mashariki na Kati. Wanasayansi walifanya utafiti uliodhihirisha kwamba mtu mwenye kuongea lugha kadhaa ana uawezo mkubwa kiakili na kimawazo.
Sasa nyie Wabongo mumefungiwa kwenye lugha moja, na hata hicho Kiswahili wengi hamkijui vizuri kwa ufasaha. Nikiangalia alivyoandika mleta mada, humo kuna makosa mengi ya kiufasaha halafu anajinadi kwamba yeye mtaalam wa Kiswahili. Vijana wa mjini kazi kuvaa milegezo na kuimba Bongo flava na kuomba omba buku jero mjini.
Chief engineer njoo nimemkamata mmoja huyu hapa[emoji121] [emoji121] [emoji121]Watz mnataka kuleta ishu za mchongoano? Mnataka kuleta maneno mob?
Tuanze mchongoano sasa!! Wasee waseee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] avril je?Uhuru pekee yake ndio anaongea kiswahili sawia
Ila vijana wa Kenya kazi yao ni kula mutura huku wakiimba fimbo ina chapaHehehe! Huwa mna nongwa sana nyie, hamkawii kuibuka na hizi mada za kupimana urefu wa dushe. Nimewaambia mara si haba kwamba Wakenya hatuwezi fugwa kwenye zizi la lugha moja kama mazombi, sisi ni wajanja wa lugha, tunaongea nyingi.