Wakenya.... Kwanini mna lafudhi mbaya sana mazee??

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaaaaaaah.....

EBANA SAWA:
Nyie wakenya mbona hamueleweki mko fluent in English, Swahili or Kikuyu ...
Yaani mnapoongea, mnapoandika na vile mnavo mix maneno na lugha basi hata hamueleweki mnatumia lafudhi gani....
Kizungu sio kizungu.. Kiswahili sio Kiswahili... Kikuyu sio Kikuyu...
Yaani mpo mpo tuuu... Chagueni moja basi....
Hamuoni jirani zenu wanatumia lafudhi nzuri maridhawa ya Kiswahili safi kabisa.

Mnajua ndio maana hata muziki wenu umekufa, Jirani zenu wamekuja kuteka market KE nzima...

Badilikeni bana.. Kuweni na lafudhi nzuri maridhawa maridadi yenye mvuto.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeamka nao sio....hawa wanaweza kingereza tu. ..kiswahili wanakiharibu tu
 
Ulishawahi kusikia waCongo au WaZambia wakiongea Kiswahili?
Wanigeria au Wahindi wakiongea Kingereza?

Sio lazima waongee Kiswahili fasaha ambapo hata Watanzania wengi hatuwezi kuongea Swahili fasaha.

WE nawe ndio wale wale.... Zero kabisa. Empty. Nothing.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Niaje wazeiyaaaaaaaah.....

EBANA SAWA:
Nyie wakenya mbona hamueleweki mko fluent in English, Swahili or Kikuyu ...
Yaani mnapoongea, mnapoandika na vile mnavo mix maneno na lugha basi hata hamueleweki mnatumia lafudhi gani....
Kizungu sio kizungu.. Kiswahili sio Kiswahili... Kikuyu sio Kikuyu...
Yaani mpo mpo tuuu... Chagueni moja basi....
Hamuoni jirani zenu wanatumia lafudhi nzuri maridhawa ya Kiswahili safi kabisa.

Mnajua ndio maana hata muziki wenu umekufa, Jirani zenu wamekuja kuteka market KE nzima...

Badilikeni bana.. Kuweni na lafudhi nzuri maridhawa maridadi yenye mvuto.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
When someone wakes up at 5am to post something so lame yet somehow calls himself an engineer.... leaves me wondering about their mental capabilities but most of all if they really ever saw the gates of a college!
 
WE nawe ndio wale wale.... Zero kabisa. Empty. Nothing.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ukiambiwa ukweli una catch ....yaitwa Diversity ...just like black people in america cannot say ask but aks

Kenya ndio nchi EA inayo unganisha waafrica -sikuringa

To the north West nilotes most of whom come from Chad South Sudan To the north oromos from Ethiopia historically and Few amharas to the east Somalis and Boranas To the south Swahilis and arabs to the west Bantus ....all this people have their own dialect and heavy toungues .....just like how you can differentiate a latina speaking english in USA AND a white man
 
Watz mnataka kuleta ishu za mchongoano? Mnataka kuleta maneno mob?

Tuanze mchongoano sasa!! Wasee waseee?
 
Hehehe! Huwa mna nongwa sana nyie, hamkawii kuibuka na hizi mada za kupimana urefu wa dushe. Nimewaambia mara si haba kwamba Wakenya hatuwezi fugwa kwenye zizi la lugha moja kama mazombi, sisi ni wajanja wa lugha, tunaongea nyingi.
Tunapenda zetu za asili, na tunaongea pia za kigeni. Hii ndio sababu moja ambayo imetufanya kuwa wajanja zaidi ya raia wa nchi zote ukanda huu wote wa Afrika Mashariki na Kati. Wanasayansi walifanya utafiti uliodhihirisha kwamba mtu mwenye kuongea lugha kadhaa ana uawezo mkubwa kiakili na kimawazo.

Sasa nyie Wabongo mumefungiwa kwenye lugha moja, na hata hicho Kiswahili wengi hamkijui vizuri kwa ufasaha. Nikiangalia alivyoandika mleta mada, humo kuna makosa mengi ya kiufasaha halafu anajinadi kwamba yeye mtaalam wa Kiswahili. Vijana wa mjini kazi kuvaa milegezo na kuimba Bongo flava na kuomba omba buku jero mjini.
 
Mbona unatalk mawords mob Kama mwantumu wa kimbangulile .....

Watanzania wengi hutumia lugha ya kiswahili katika kuwasiliana kwa kuwa ndio inayofahamika kwa ufasaha zaidi kuliko lugha nyinginezo lakini wengi wetu pia tuna ufahamu wa lugha ya kiingereza lakini si kwa ufasaha Sana kwa maana sisi hukitumia kwa masuala ya kitaaluma (academics) na biashara zaidi

Lugha ya kiswahili ni nembo ya utaifa wetu na si kwamba wengi hatuzijui kabisa lugha za asili bali tunaweka utaifa mbele kuliko ukabila wetu.....

Ila sheng huwa napenda kuisikiliza Kama tu kiingereza cha wanaijeria .yaani kuna mixture flani tamu ya lugha
 
Hehehe! Huwa mna nongwa sana nyie, hamkawii kuibuka na hizi mada za kupimana urefu wa dushe. Nimewaambia mara si haba kwamba Wakenya hatuwezi fugwa kwenye zizi la lugha moja kama mazombi, sisi ni wajanja wa lugha, tunaongea nyingi.
Tunapenda zetu za asili, na tunaongea pia za kigeni. Hii ndio sababu moja ambayo imetufanya kuwa wajanja zaidi ya raia wa nchi zote ukanda huu wote wa Afrika Mashariki na Kati. Wanasayansi walifanya utafiti uliodhihirisha kwamba mtu mwenye kuongea lugha kadhaa ana uawezo mkubwa kiakili na kimawazo.

Sasa nyie Wabongo mumefungiwa kwenye lugha moja, na hata hicho Kiswahili wengi hamkijui vizuri kwa ufasaha. Nikiangalia alivyoandika mleta mada, humo kuna makosa mengi ya kiufasaha halafu anajinadi kwamba yeye mtaalam wa Kiswahili. Vijana wa mjini kazi kuvaa milegezo na kuimba Bongo flava na kuomba omba buku jero mjini.
Ila vijana wa Kenya kazi yao ni kula mutura huku wakiimba fimbo ina chapa
 
Back
Top Bottom