Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Afu waTz nyie mnashida kweli kweli....iweje mwanamme mzima akamhukumu mtu kisa sura?.......don't judge a book by its cover....inaonyesha mlivyo wapumbavu...hamko deep....aweza kuwa ana mvuto wa sura ila chini ni debe lilopanuliwa ama adabu hana.....pia aweza kua hana mvuto ziada ila chini bikra au mtamu ama hata mwenye tabia nzuri kama malaika........na kadhalika
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.
Afu mwanamume kushindanisha wanaume sura ni tabia ya ajabu niliyoiona Tz.
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.
Afu mwanamume kushindanisha wanaume sura ni tabia ya ajabu niliyoiona Tz.