Wakenya, michepuko ya mwendokasi ni aibu!

Wakenya, michepuko ya mwendokasi ni aibu!

Afu waTz nyie mnashida kweli kweli....iweje mwanamme mzima akamhukumu mtu kisa sura?.......don't judge a book by its cover....inaonyesha mlivyo wapumbavu...hamko deep....aweza kuwa ana mvuto wa sura ila chini ni debe lilopanuliwa ama adabu hana.....pia aweza kua hana mvuto ziada ila chini bikra au mtamu ama hata mwenye tabia nzuri kama malaika........na kadhalika
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.
Afu mwanamume kushindanisha wanaume sura ni tabia ya ajabu niliyoiona Tz.
 
Afu ondoa homosexuality kwenye listi yako hiyo uchwara.....wanasayansi wenyewe washaliondowa iweje weye uliye hitimu darasa la saba?

Kuna tofauti gani kati ya Homosexuality na Bestiality. wajua ni nini lililofanya homosexuality kuondolewa?
 
Kuna tofauti gani kati ya Homosexuality na Bestiality. wajua ni nini lililofanya homosexuality kuondolewa?

Tafadhali tusibishane juu ya hili!....sina mda wa kukuelimisha kafanye research yako kwanza!....kwenye mada hii kuna ubishi mkubwa haswa miongoni mwa wengi walio mbumbumbu!(labda umo miongoni mwao 90%)
Mwanadamu kwa mwanadamu mwenzie kulinganisha myama kwa mwanadamu wapi na wapi?
Katafute mwanasayansi aliye karibu nawe au kajisomee!

Siku njema!
 
Tatizo lako ni kuwaabudu wazungu. Tatizo lako la pili ni kuappeal kwa authority. Hujui ni kwanini APA walilitoa ushoga kwenye baadhi ya magwonjwa kiakili yanyohusu ngono.
 
Back
Top Bottom