Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Afu ondoa homosexuality kwenye listi yako hiyo uchwara.....wanasayansi wenyewe washaliondowa iweje weye uliye hitimu darasa la saba?
Kuna tofauti gani kati ya Homosexuality na Bestiality. wajua ni nini lililofanya homosexuality kuondolewa?
Tafadhali tusibishane juu ya hili!....sina mda wa kukuelimisha kafanye research yako kwanza!....kwenye mada hii kuna ubishi mkubwa haswa miongoni mwa wengi walio mbumbumbu!(labda umo miongoni mwao 90%)
Mwanadamu kwa mwanadamu mwenzie kulinganisha myama kwa mwanadamu wapi na wapi?
Katafute mwanasayansi aliye karibu nawe au kajisomee!
Siku njema!