Wakenya mmezidi sana mnawataka nini Watanzania aah!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Tupunguze maneno hebu angalia hii 👇

Screenshot_20200121-093248.jpg
Screenshot_20200121-093037.jpg
Screenshot_20200121-093006.jpg
 
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wana shobo sana hao mashoga wa Kikenya. While nobody in TZ gives a F*** about them.
 
Wewe unaumwa kichwa si bure, hebu nenda kwa specialist wa vichaa a check kama huko sawa kichwani mwako.
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
 
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu utani wa twitter haujaisha tuuu. Ongezeni speed majirani ili tupate kipya cha kuwaibia
 
Back
Top Bottom