Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duhHahahahahaha Basi tumewapa, mmetushinda, mchukueni na magufuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
Yeap hicho kitu kipo twitter. No hard feelings kabisaa zaidi ya fun tuWakenya wanafanya utani
Tupunguze maneno hebu angalia hii 👇
View attachment 1329183View attachment 1329184View attachment 1329185