Wakenya Mnawezaje kuishi maeneo ya Garisa and Mandela?

Wakenya Mnawezaje kuishi maeneo ya Garisa and Mandela?

Ni kama tu wanaoishi mabondeni. Wakati wa masika wanaishi roho juu. Si kwamba wanapenda, la. Ni hawana makazi mbadala.

Ni rahisi kumwambia mtu 'hama hapo'. Ila ni vigumu kwa mkazi kuyahama makazi yake aliyoyapata pengine kwa msoto mkali. Ndio maana wenye uwezo hawakai maeneo hatarishi.
 
Back
Top Bottom