Wakenya mwaka huu ni wetu

Wakenya mwaka huu ni wetu

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
277
Mpo?

Wakenya tunapendwa.
Ndio,
Mwaka huu OBAMA rais wa the super power nation USA akaja nyumbani.

Leo, PAPA Francis, mkuu wa dhehebu lenye wafuasi wengi duniani, na literally kiongozi wa dunia anakuja Kenya,
Kwa mara ya kwanza kuja Afrika!

I am proud to be a Kenyan.
 
Mnapewa na pesa hao wote wanavokuja au nyie ndo mnatoa pesa za kuwalisha...
 
Wote hao walikuja kwanza Tanzania

Papa Francis HAJAWAHI kukanyaga AFRIKA ndio mara yake ya kwanza. Obama alikuja TZ siku moja, Kenya alilala na akaamka!
 
Papa Francis HAJAWAHI kukanyaga AFRIKA ndio mara yake ya kwanza. Obama alikuja TZ siku moja, Kenya alilala na akaamka!

Papa John Paul the second alikuja Tanzania 1990s
 
Papa Francis HAJAWAHI kukanyaga AFRIKA ndio mara yake ya kwanza. Obama alikuja TZ siku moja, Kenya alilala na akaamka!
Aliyemtangulia papa Francis alishafika TZ since then, Obama alilala TZ for three concecutive nights...,
 
Nina aleji na viongozi kama hao, hata angekuwa anapita mtaani nisingetoka kwenda kumwona!!!

Sinaga shobo na watu Maarufu.
 
Papa hawezi kwenda sehemu hivihivi tu lazma kuwe na jambo Fulani has a matatizo hivyo hamjuwi wakenya MNA matatizo mengi kama Alshabab ukabila hivyo papa naona hilo na so wewe unavyo shangilia kijinga muombe Mungu nchi itulie maana mnaweza mkawa mmeendelea lakini kama a man hakuna basi hakuna raga ya mafanikio,maana mafanikio hayaleti amani ila amani inaleta mafanikio so think big my Kenyan bro
 
...can u please give 1 economic advantage due to trip of those people in our country.....
 
Sijawahi kusikia vatcan imesaidia taifa lolote hata kujenga barabara kilometer moja......ziara kama hizo ni hasara tu kwa taifa
 
Labda itasaidia kupungua ufisadi na rushwa iliyokithiri.
 
Hao wote ni wajenzi huru, na huyo papa amekuja kujaribu kuutafuna mfupa ulomshinda obama, yaani ushoga nyie mnakenua?
 
Nilidhani sote tuko E.Afrika au vipi akija mtu yeyote aiiye na umaarufu Kenya si atakuwa ni kama ametembea kote E.A?

Ama shida ni vile Kenya inavochukua nafasi hizo vizuri na kujitangaza duniani kama nchi nzuri kabisa E.A kutembea na kufanya biashara?
 
Weye mkenya wapi?.........omba uraia utapewa.....duh!
 
Back
Top Bottom