Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umechanuka sana Skyeclat. Wewe ni wale dotcom. Kizungu unakimanya sawasawa 😀😀Jirani huku Kwamtogole tunakijua Kimalkia na sisi tuna watch BBC World News. Unafikiri bado tuko kwenye Things Fall Apart?
Kingereza ni special na hata ukisema nini, kitabaki kuwa special. Kimenifungulia milango mingi sana. Kiswahili pia ni muhimu kwa mawasiliano ya kifamilia au kirafiki. Lakini kwa mawasiliano ya kibiashara au kimasomo, itabidi umeongea lugha hio unayoidharau. Usije ukawa kama rais wenu asiyekifahamu king'ong'o halafu sasa anaogopa kusafiri ulaya kuongea na viongozi wenzake, akabakia tu kuzunguka ndani ya mipaka ya nchi yako. Ni aibu kubwa sana hadi masikitiko 🙁🙁🙁Nadhani ndio sababu pekee Wakenya huchukulia Kingereza kama "Something special" au kitu cha High class, Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo lenu mkikosa point za msingi mnaishia kutoa maneno ya dhihaka na kutusi.. Tuache hayo..Nope, Point ni hii, Kenyans brag and feel so proud just for knowing queen's Langage, which to me indeed is just a Language kama tu kihehe cha kwetu. that was my point, note this into your huge empty hollow skull.
Sema hata na wewe ndugu yangu.Mhehe gan wewe mjinga hivyo? Acha kutuaibisha wahehe eti kujua kiinglishi mpaka uwe na kitu mfukon.
Nafikiri mleta mada alitakiwa angalau ajaribu kueleza faida ya Kimalkia ke na sio mara suti mara waongeaji hawana hata mia.
Ukinisoma vizuri nimemjibh sawa na utumbo wake na sijamaanisha kuwa kujua Kimalkia ni vibaya.
Kimsingi Wakenya baada ya kujikuta hamna luhga rasmi ya kuwaunganisha kama taifa, mlielekeza nguvu kwa malkia kama lugha rasmi ya mawasiliano, kama ambavyo nasi tulivyofanya juhudi kueneza Kiswahili na hatimaye ndio ikawa lugha rasmi kwetu.
Umuhimu wa kujua lugha tofauti ni mkubwa sana duniani kwani usipofamu lugha ni gharama kubwa sana utahitaji mkalimani popote utakapohitaji kusafiri.
Ni kweli Wachina walijidanganya kuwa kuwa hawana haja na lugha zingine, lkn sasa wanajuta kwani inawawia ngumu kuwasiliana hasa ukizingatia biashara ya leo ni ya kimtandao na sio ya kusubiria dukani/kiwandani kwako.
Uko sahihi, ni vizuri kuzijua lugha tofauti, ila mleta mada kawawakilisha watanzania wengi wenye mtazamo hasi kuwa lugha ya kiingereza ni kwa wasomi na matajiri tu, mtu akibonga ung'eng'e atakuwa kasoma au ana umate mate.Kujua lugha zaidi ya moja kuna faida kubwa sana. Hasa lugha za kimataifa. Kuna fungua milango mingi ya maisha. Waingereza wenyewe wanapenda wastoto wao wajifunze Spanish, French au Germany
Usijali, Niko fiti, Utafiti unanipa ithibati kuwa kwa kukata Govi naepuka maambukizi kwa karibu 60%, sijui kwa nini Wewe hujakata hilo Govi hadi leo!
Endelea kuamini hivyo, Mchina hajui hiyo Lugha na amewaibia kwenye SGR, Kingereza ni Lugha kama zilivyo Lugha nyingine nyie wakenya mbona malofa hivyo miaka yote?Kingereza ni special na hata ukisema nini, kitabaki kuwa special. Kimenifungulia milango mingi sana. Kiswahili pia ni muhimu kwa mawasiliano ya kifamilia au kirafiki. Lakini kwa mawasiliano ya kibiashara au kimasomo, itabidi umeongea lugha hio unayoidharau. Usije ukawa kama rais wenu asiyekifahamu king'ong'o halafu sasa anaogopa kusafiri ulaya kuongea na viongozi wenzake, akabakia tu kuzunguka ndani ya mipaka ya nchi yako. Ni aibu kubwa sana hadi masikitiko 🙁🙁🙁
Basi usiweke mada zisizoelewekaSio Kila mada inayoanzishwa hapa ni Lazima uielewe.
Nani aliekudanga kuwa Raisi wetu haajui kuongea kiingereza? Ndo mnavyo danganyana mkiwa kwenye vijiwe vyenu vya githeri sioKingereza ni special na hata ukisema nini, kitabaki kuwa special. Kimenifungulia milango mingi sana. Kiswahili pia ni muhimu kwa mawasiliano ya kifamilia au kirafiki. Lakini kwa mawasiliano ya kibiashara au kimasomo, itabidi umeongea lugha hio unayoidharau. Usije ukawa kama rais wenu asiyekifahamu king'ong'o halafu sasa anaogopa kusafiri ulaya kuongea na viongozi wenzake, akabakia tu kuzunguka ndani ya mipaka ya nchi yako. Ni aibu kubwa sana hadi masikitiko 🙁🙁🙁