Wakenya na Kingereza

Wakenya na Kingereza

Nakubaliana na wewe,
Hata mimi sasa hivi najifunza Kiitaliano, nikipata walau basics nitaanza French, Lugha ya Tano. Lakini Tunavyochukulia hizi Lugha ni Tofauti sana, and probably that was my point.
Kuwa na uwezo wa kubalance na kufahamu unaongea na na Nani. Hata madaktari wanaambiwa wakiongea na wagonjwa waache scientific words wanazoongea na madaktari wenzao
 
Haina haja, lugha sio ufahari au utajiri bali lugha kusudio kubwa ni mawasiliano, nitatumia kifaransa/kiingereza/kijerumani pale tu ninapolazimika kuwasiliana na mtumiaji wa lugha husika endapo hajui kutumia lugha yangu.
Hivi leo wasawahili tuamke ghafla wote tuanze kuongea kimalikia bila sababu yoyote ni ulimbukeni na ujuha
Na ni wendawazimu pia,
 
Suala la lugha inategemea , mfano ukija Mwanza utakuta mtu mmoja anaongea kikurya, kikerewe, kisukuma, na Kihaya na anaongea kwa ufasaha kabisa.Hii inasababishwa na muingiliano. Kumbuka watawala wa awali wa kenya walijipendekeza saaana kwa wazungu na walitaka waonekane kama ni "wazungu weusi" ukipata simulizi za babu zetu utaona wakati wa ukoloni ambapo walikuwa wanafanya kazi mchanganyiko. Mkenya atajipendekeza kuwa yeye ndio anawaelewa wazungu zaidi. Kitendo hicho kiliendelea hata baada ya uhuru Nyerere alitimua wazungu wote lakini wao walibaki ndio wamiliki wa makampuni na mashamba makubwa hivyo!! ili upate ajira kule lazima uongee kiingereza hivyo imerithishwa hadi leo
 
Kujua lugha zaidi ya moja kuna raids kubwa sana. Hasa lugha za kimataifa. Kuna fungus milango mingi ya maisha. Waingereza wenyewe wanapenda wastoto wao wajifunze Spanish, French au Germany
You're a very smart lady. You're smarter than all the bongo idiot men commenting on this thread.
 
Kama jinsi huwa nasema mara nyingi, Kenya hatuna kile kitu huitwa 'herd mentality', au kufugwa wote kwenye zizi moja la lugha, tunaongea lugha nyingi tukianza na zetu za asili, halafu Kiswahili na Kingereza zinatuunganisha kama taifa na pia kutuunga kwenye mataifa mengine.
Mwisho wa siku umuhimu wa lugha ni ueleweke unachokisema kwenye mawasiliano, na kila lugha ina mafao yake
- Lugha ya asili inaniunganisha na asili yangu kwa mababu zangu, sio kuishi kama sharobaro lisilo na kwao
- Kiswahili kinanisaidia kuwasiliana na watu wasio wa asili yangu ndani ya taifa na pia nchi jirani
- Kingereza kina umuhimu mkubwa sana kwangu kwenye michongo yangu, biashara za kimataifa bila kingereza unakua zero, maisha ya sasa yanategemea utaalam wa lugha ya kingereza, hata Wachina na nchi za mashariki na bara Asia wamelitambua hili na wapo mbioni kuhakikisha raia wake hawachelewi kujiunga kwenye lugha hii.

Cha msingi, lazima uwe mjanja wa lugha sio unakaa kwenye mabanda ya Tandale kama zezeta asiye na mbele wala nyuma, jifunze na kuongea walau lugha tano. Lakini usitelekeze yako ya asili, kama Msukuma ongea mpaka chote, kama Mnyakyusa jua lugha ya sili yako.

Utafiti wa kisayansi uligundua kwamba watu wenye uwezo wa kuongea na kuandika lugha kadhaa huwa bora hata kimawazo. Wafundisheni watoto wenu na vijana wa kwenu kama mnataka kuwa washindani kimataifa, la sivyo fursa zitakua zinawapita, viongozi wenu wakiogopa kutoka na kusingizia eti wanabana matumizi.
Nafikiri mleta mada alitakiwa angalau ajaribu kueleza faida ya Kimalkia ke na sio mara suti mara waongeaji hawana hata mia.
Ukinisoma vizuri nimemjibh sawa na utumbo wake na sijamaanisha kuwa kujua Kimalkia ni vibaya.
Kimsingi Wakenya baada ya kujikuta hamna luhga rasmi ya kuwaunganisha kama taifa, mlielekeza nguvu kwa malkia kama lugha rasmi ya mawasiliano, kama ambavyo nasi tulivyofanya juhudi kueneza Kiswahili na hatimaye ndio ikawa lugha rasmi kwetu.
Umuhimu wa kujua lugha tofauti ni mkubwa sana duniani kwani usipofamu lugha ni gharama kubwa sana utahitaji mkalimani popote utakapohitaji kusafiri.
Ni kweli Wachina walijidanganya kuwa kuwa hawana haja na lugha zingine, lkn sasa wanajuta kwani inawawia ngumu kuwasiliana hasa ukizingatia biashara ya leo ni ya kimtandao na sio ya kusubiria dukani/kiwandani kwako.
 
Kuwa na uwezo wa kubalance na kufahamu unaongea na na Nani. Hata madaktari wanaambiwa wakiongea na wagonjwa waache scientific words wanazoongea na madaktari wenzao
Yule prof wa Kenya anaeandikaga tweets ngumu hata sijui nani anaelewaga, that comes into communication skills.
 
Nafikiri mleta mada alitakiwa angalau ajaribu kueleza faida ya Kimalkia ke na sio mara suti mara waongeaji hawana hata mia.
Ukinisoma vizuri nimemjibh sawa na utumbo wake na sijamaanisha kuwa kujua Kimalkia ni vibaya.
Kimsingi Wakenya baada ya kujikuta hamna luhga rasmi ya kuwaunganisha kama taifa, mlielekeza nguvu kwa malkia kama lugha rasmi ya mawasiliano, kama ambavyo nasi tulivyofanya juhudi kueneza Kiswahili na hatimaye ndio ikawa lugha rasmi kwetu.
Umuhimu wa kujua lugha tofauti ni mkubwa sana duniani kwani usipofamu lugha ni gharama kubwa sana utahitaji mkalimani popote utakapohitaji kusafiri.
Ni kweli Wachina walijidanganya kuwa kuwa hawana haja na lugha zingine, lkn sasa wanajuta kwani inawawia ngumu kuwasiliana hasa ukizingatia biashara ya leo ni ya kimtandao na sio ya kusubiria dukani/kiwandani kwako.
wewe baki huko uone hii mada itakotokea, huelewi kinachoendelea hapa.
 
Kama jinsi huwa nasema mara nyingi, Kenya hatuna kile kitu huitwa 'herd mentality', au kufugwa wote kwenye zizi moja la lugha, tunaongea lugha nyingi tukianza na zetu za asili, halafu Kiswahili na Kingereza zinatuunganisha kama taifa na pia kutuunga kwenye mataifa mengine.
Mwisho wa siku umuhimu wa lugha ni ueleweke unachokisema kwenye mawasiliano, na kila lugha ina mafao yake
- Lugha ya asili inaniunganisha na asili yangu kwa mababu zangu, sio kuishi kama sharobaro lisilo na kwao
- Kiswahili kinanisaidia kuwasiliana na watu wasio wa asili yangu ndani ya taifa na pia nchi jirani
- Kingereza kina umuhimu mkubwa sana kwangu kwenye michongo yangu, biashara za kimataifa bila kingereza unakua zero, maisha ya sasa yanategemea utaalam wa lugha ya kingereza, hata Wachina na nchi za mashariki na bara Asia wamelitambua hili na wapo mbioni kuhakikisha raia wake hawachelewi kujiunga kwenye lugha hii.

Cha msingi, lazima uwe mjanja wa lugha sio unakaa kwenye mabanda ya Tandale kama zezeta asiye na mbele wala nyuma, jifunze na kuongea walau lugha tano. Lakini usitelekeze yako ya asili, kama Msukuma ongea mpaka chote, kama Mnyakyusa jua lugha ya sili yako.

Utafiti wa kisayansi uligundua kwamba watu wenye uwezo wa kuongea na kuandika lugha kadhaa huwa bora hata kimawazo. Wafundisheni watoto wenu na vijana wa kwenu kama mnataka kuwa washindani kimataifa, la sivyo fursa zitakua zinawapita, viongozi wenu wakiogopa kutoka na kusingizia eti wanabana matumizi.
Upo sawa kabisa, Tofauti ni hii,
kuna wale hujihisi kuwa karibu na malkia kwa sababu wanaongea Lugha ya Malkia, Na hudharau chochote kiandikwacho au kisemwacho kwa Lugha ya Kiswahili, Hapa nazungumzia Jirani zetu Waingereza Weusi.
 
hahaha, nakupa nafasi nyingene usome tena bandiko pengine utang'amua walau sehemu ya mantiki ya bandiko langu
Hakuna mantiki yeyote kwenye bandiko lako zaidi ya kujichekesha chekesha na ushamba wa kudhan kiingereza ni utajiri.
Umeandika ujinga wewe lkn aibu nmeona mimi
 
Suala la lugha inategemea , mfano ukija Mwanza utakuta mtu mmoja anaongea kikurya, kikerewe, kisukuma, na Kihaya na anaongea kwa ufasaha kabisa.Hii inasababishwa na muingiliano. Kumbuka watawala wa awali wa kenya walijipendekeza saaana kwa wazungu na walitaka waonekane kama ni "wazungu weusi" ukipata simulizi za babu zetu utaona wakati wa ukoloni ambapo walikuwa wanafanya kazi mchanganyiko. Mkenya atajipendekeza kuwa yeye ndio anawaelewa wazungu zaidi. Kitendo hicho kiliendelea hata baada ya uhuru Nyerere alitimua wazungu wote lakini wao walibaki ndio wamiliki wa makampuni na mashamba makubwa hivyo!! ili upate ajira kule lazima uongee kiingereza hivyo imerithishwa hadi leo
Nadhani ndio sababu pekee Wakenya huchukulia Kingereza kama "Something special" au kitu cha High class, Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.
 
Hakuna mantiki yeyote kwenye bandiko lako zaidi ya kujichekesha chekesha na ushamba wa kudhan kiingereza ni utajiri.
Umeandika ujinga wewe lkn aibu nmeona mimi
Kweli hujaelewa, Pole!
I can help you, Mantiki ni Hii,
Nimejaribu kuongelea watu wa Kawaida Kenya ambao pamoja na kuwa wanaelewana kwa Kiswahili, literally watatumia Kingereza wakiamini kwamba itawaongezea status, in Kenya English is a High class Language, Trust me, Kingereza kenya Kipo overrated Tofauti na Tz sisi tunakichukulia poa tu. Mkuu Avogadro hapo amejaribu kufafanua hii dhana potofu ilikotokea.
Na Kenyans ndio viumbe pekee duniani Hujigamba kwa kujua kingereza Mitandaoni.
Mimi huwaita waingereza weusi, Sababu ndio watu pekee huwaponda watz kwa kutojua Kingereza,
But all in all kujifunza Lugha nyingi ni Advantage kwa mengi, na kutojua Lugha isiyo yako sio Aibu.
 
Khaa!!! Kwahyo we mtu akijua kiinglishi ni mpaka awe na kitu mfukoni!! Ama kweli wewe ni game over[emoji23] [emoji23]
Nope, Point ni hii, Kenyans brag and feel so proud just for knowing queen's Langage, which to me indeed is just a Language kama tu kihehe cha kwetu. that was my point, note this into your huge empty hollow skull.
 
Mhehe gan wewe mjinga hivyo? Acha kutuaibisha wahehe eti kujua kiinglishi mpaka uwe na kitu mfukon.
 
Kujua lugha zaidi ya moja kuna faida kubwa sana. Hasa lugha za kimataifa. Kuna fungua milango mingi ya maisha. Waingereza wenyewe wanapenda wastoto wao wajifunze Spanish, French au Germany
Wewe ndio uko sahihi. Mtanzania akiwa London, apende asipende, achukie asichukie, itambidi akizungumze kingereza.
 
utaongeaje kiingereza na una njaa kali??kiingereza kinaendana na pesa bwana!!
kuongea umombo bila ya pesa mfukoni ni sawa na kuulambia suti kali afu unaendesha baiskeli!!
 
Back
Top Bottom