Wakenya nahitaji maoni yenu kuhusu kauli hii; "Nitajenga viwanda vya nguo na Tanzania tutakuwa tunapeleka mitumba yetu Ulaya"- Ahadi ya Rais JPM(2016)

Wakenya nahitaji maoni yenu kuhusu kauli hii; "Nitajenga viwanda vya nguo na Tanzania tutakuwa tunapeleka mitumba yetu Ulaya"- Ahadi ya Rais JPM(2016)

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Nimekumbana na habari hizi na video hii pia kwenye kumbukumbu za enzi zile, 'hapa kazi tu' ilipokuwa imepamba moto kweli kweli. Ila nikabaki na maswali chungu nzima baada ya ahadi na kauli hii kunikanganya. Majirani waliambiwa live kwamba Tz itakuwa kama ulaya. Eti na viwanda vya nguo vitajengwa kwa wingi na watz wote watakuwa wanavalia nguo mpya mpya. Huku nguo walizozivalia tayari, yaani mitumba, zitakuwa zinasafirishwa na kuuzwa ulaya.

Hivi hizi ni ndoto roho safi au ni uongo uongo tu wa kuihadaa umma kimakusudi? Kauli kama hizi zinaendana kweli na 'dynamics' za biashara kimataifa, kwa wale ambao wanaelewa taswira ya sekta kusika kule Marekani na Ulaya? Majirani mmekaribishwa pia mtueleze kwa kina kuhusu hii azma yenu. Mmefikia hatua ipi miaka miine baadaye, viwanda tayari?

Vipi kuhusu belo za mitumba kutoka Tz, tayari zipo kwenye soko kule Ulaya?

Eti kisa unalima pamba ndio ujione kila kitu. Eti anaetengeneza machine za hivyo viwanda vya nguo ndio umuone si lolote eti wewe mlima pamba ndio umuuzie mitumba. Kati ya mlima pamba na mtengeneza technology ya viwanda vya nguo yupi ni bora?
 
Eti kisa unalima pamba ndio ujione kila kitu..eti anaetengeneza machine za hivyo viwanda vya nguo ndio umuone si lolote eti wewe mlima pamba ndio umuuzie mitumba. Kati ya mlima pamba na mtengeneza technology ya viwanda vya nguo yupi ni bora?
Achana na yule kituko wa kujimwambafai mwambafai Hana lolote.
 
Ila wazungu kwa figisu wako vzr sana aisee, EAC ilielewana kupiga marufuku nguo na viatu vya mitumba naona baadae ikabidi kua wapole tu maana US alipiga bonge moja la mkwara kwa yoyote yule atakayezuia nguo za mitumba kuuzwa nchini kwake, maana mitumba imeajiri wamarekani 40,000 huko Kwao.

Kuna nchi hapa EA yenyewe iliendelea kukataa mitumba kutoka US ikapewa adhabu ya 'No duty-free access to the American market',naona members wengine wa EAC ikabidi kua wapole tu.

Mabeberu hua yana fitna sana aisee.
 
Daudi Mchambuzi, sio utani jombaa. Nilipoicheki video hiyo hapo youtube ilinibidi nirudi nyuma kidogo niitafute hii comment nilioisoma juzi na kuipuuza kama pumba tu za kawaida.
Wewe dudu utakua huna akili

Kila siku Magufuli anasema nataka Tanzania IWE KAMA ULAYA halafu unakuja kutuletea utopolo wako hapa sijui wa failed state gani?

Kiongozi wa nchi kila siku anasema anataka kuifanya Tanzania iwe kama ulaya sababu ameona hapa Africa Hakuna wa kumuiga

Juzi kwenye manifesto kasema atajenga viwanda vya nguo nchini Tuachane na mitumba kabisa na mitumba yetu itakua sasa inaenda ulaya, hao Kenya hata akili ya kufikiria hivyo wanayo? Achia mbali kudare
...and I was like, seriously? [emoji15]
 
Adui wa Afrika ni Waafrika wenyewe, badala yakuungana yakawa na umoja yenyewe daily nikutumika kama vibaraka, mipango alokua nayo magufuli ilikua inatekelezeka bt figisu alizokutana nazo ndani na nje ya nchi ni hatari, hata hapo alipofikia kajitahidi sana nakaonesha umwamba wake.

Magufuli kapambana Covid kwa mbinu za kipekee na kafanikiwa bt kwa kua wazungu ni wanafiki huwezi wasikia wanamsifia bt wao na vibaraka wao wataangalia alipokosea wapate cha kusema.
 
Eti kisa unalima pamba ndio ujione kila kitu. Eti anaetengeneza machine za hivyo viwanda vya nguo ndio umuone si lolote eti wewe mlima pamba ndio umuuzie mitumba. Kati ya mlima pamba na mtengeneza technology ya viwanda vya nguo yupi ni bora?
Akili za aina hiyo zinashangaza sana, tena zaidi ya maelezo.
 
Hehehehe!! Haya mbona kawaida sana kipindi cha uchaguzi, nakumbuka Watz waliahidiwa sijui milioni hamsini kila kijijini pamoja na ahadi zingine nyingi, ukipata fursa pitia jukwaa lao la siasa kule ndio utacheka wanavyokumbushana haya mavitu.
Sema ili kuwa fair, ndio zao wanasiasa, hata huku Kenya huwa tunawaona na ahadi zao butu.

Hivi mbona kipindi hiki Watz hatuoni push up, au bado shughuli haijanoga.
 
Hehehehe!! Haya mbona kawaida sana kipindi cha uchaguzi, nakumbuka Watz waliahidiwa sijui milioni hamsini kila kijijini pamoja na ahadi zingine nyingi, ukipata fursa pitia jukwaa lao la siasa kule ndio utacheka wanavyokumbushana haya mavitu.
Sema ili kuwa fair, ndio zao wanasiasa, hata huku Kenya huwa tunawaona na ahadi zao butu.
Sikatai jombaa, wanasiasa ni wale wale. Ila kauli na ahadi kama hizi za kuuza mitumba ulaya sio za kuwaambia watu sober. Tena sio za kutamkwa mbele ya kadamnasi na mwanasiasa yeyote yule ambaye anajielewa na anapenda uhai wake. Atleast not in Kenya. Tena hapo haikuwa wakati wa kampeni, hapo mzee tayari alikuwa amekalia kiti.
 
tenor (1).gif
 
Nimekumbana na habari hizi na video hii pia kwenye kumbukumbu za enzi zile, 'hapa kazi tu' ilipokuwa imepamba moto kweli kweli. Ila nikabaki na maswali chungu nzima baada ya ahadi na kauli hii kunikanganya. Majirani waliambiwa live kwamba Tz itakuwa kama ulaya. Eti na viwanda vya nguo vitajengwa kwa wingi na watz wote watakuwa wanavalia nguo mpya mpya. Huku nguo walizozivalia tayari, yaani mitumba, zitakuwa zinasafirishwa na kuuzwa ulaya.

Hivi hizi ni ndoto roho safi au ni uongo uongo tu wa kuihadaa umma kimakusudi? Kauli kama hizi zinaendana kweli na 'dynamics' za biashara kimataifa, kwa wale ambao wanaelewa taswira ya sekta kusika kule Marekani na Ulaya? Majirani mmekaribishwa pia mtueleze kwa kina kuhusu hii azma yenu. Mmefikia hatua ipi miaka miine baadaye, viwanda tayari?

Vipi kuhusu belo za mitumba kutoka Tz, tayari zipo kwenye soko kule Ulaya?

Ila Magufuli nae anajitahidi kupiga sound, ndio ma manzi walikuwa wanashindwa kumchomolea.

Safari hii mmeambiwa mtiane tu, hakuna cha family planning wala baba yake Family planning
 
Kwan na nyie zile IPAD mlizo aidiwa watapatiwa watoto wenu kwa school walishapatiwa ? Au zile stadium.mlizo aidiwa mshajengewa ? And the gay is about to leave the state house soon ! While magufuli still has five years again ...
 
Sikatai jombaa, wanasiasa ni wale wale. Ila kauli na ahadi kama hizi za kuuza mitumba ulaya sio za kuwaambia watu sober. Tena sio za kutamkwa mbele ya kadamnasi na mwanasiasa yeyote yule ambaye anajielewa na anapenda uhai wake. Atleast not in Kenya. Tena hapo haikuwa wakati wa kampeni, hapo mzee tayari alikuwa amekalia kiti.

Leo wameambiwa wazaliane sana maana matiti yapo ya kunyonyesha na wanaume wapo wa kutia mimba, sasa sijui wenzetu ndio wataongeza kuzungusha kibakuli cha misaada kwa mabeberu maana sio kwa kuzaliana kutakaoibuka ukikumbuka sasa hivi bajeti yao asilimia kiasi fulani hutegemea hao mabeberu.

Hehehe ila Magu hunibamba sana, napenda kutazama video zake hata wakati anaongea visivyo, hunikumbusha wazee fulani kijijini kwetu huwa tunawaalika kwenye sherehe yoyote ile na mtaishia kucheka jinsi watachomekea vijimambo vya ajabu, mtu mwingine akiyasema hayo dunia inalipuka kwa atakavyokaripiwa ila mzee akiyatamka mnaishia kucheka tu yaani anavyoiweka.
Kwa mfano Magu hupenda kusifia sana wanawake weupe na huyasema hata mbele ya mkewe ambaye ni mweusi....sasa wewe nenda kwako ujaribu kuiga.

Rais Uhuru akirudia hayo yaliyosemwa leo na Magu, dunia itasimama, yaani itakua habari mpasuko BBC, CNN, Aljazeera, FBI, CIA, Mossad, ITV, KTN na makajamba wote....
 
Leo wameambiwa wazaliane sana maana matiti yapo ya kunyonyesha na wanaume wapo wa kutia mimba, sasa sijui wenzetu ndio wataongeza kuzungusha kibakuli cha misaada kwa mabeberu maana bajeti yao asilimia fulani hutegemea hao mabeberu.Hehehe ila Magu hunibamba sana, napenda kutazama video zake, hunikumbusha wazee fulani kijijini kwetu huwa tunawaalika kwenye sherehe yoyote ile na mtaishia kucheka jinsi watachomekea vijimambo vya ajabu, mtu mwingine akiyasema hayo dunia inalipuka kwa atakavyokaripiwa ila mzee akiyatamka mnaishia kucheka tu yaani anavyoiweka.
Kwa mfano Magu hupenda kusifia sana wanawake weupe na huyasema hata mbele ya mkewe ambaye ni mweusi....sasa wewe nenda kwako ujaribu kuiga.Rais Uhuru akirudia hayo yaliyosemwa leo na Magu, dunia itasimama, yaani itakua habari mpasuko BBC, CNN, Aljazeera, FBI, CIA, Mossad, ITV, KTN na makajamba wote..
Aangaziwe na nani? Pona yao ni lugha, alafu lugha yenyewe ni kiswahili ila kwenye guage inasoma kisukuma. 😀
 
Daudi Mchambuzi, sio utani jombaa. Nilipoicheki video hiyo hapo youtube ilinibidi nirudi nyuma kidogo niitafute hii comment nilioisoma juzi na kuipuuza kama pumba tu za kawaida. ...and I was like, seriously? [emoji15]
tunaenda kwa step tumeanza na viatu kwanza

Kwa taarifa yako tu kuanzia 2021 June Tanzania itakua imejitosheleza 100% kwa bidhaa zote za viatu vya ngozi, mikanda, mikoba, na bidhaa zaidi ya 20 zitokanazo na ngozi

Hivi viwanda vinakamilika kisha la nguo linaanza

Viwanda hivi vya bidhaa za ngozi vitaajiri zaidi ya watanzania 10,000 hiyo ni direct employees from the industries
 
Mawazo yanoyoonekana ya kijinga mara nyingi huleta ufumbuzi, ulaya ni kubwa tunaweza kuvisha waliochoka pia
 
Adui wa Afrika ni Waafrika wenyewe, badala yakuungana yakawa na umoja yenyewe daily nikutumika kama vibaraka, mipango alokua nayo magufuli ilikua inatekelezeka bt figisu alizokutana nazo ndani na nje ya nchi ni hatari, hata hapo alipofikia kajitahidi sana nakaonesha umwamba wake.

Magufuli kapambana Covid kwa mbinu za kipekee na kafanikiwa bt kwa kua wazungu ni wanafiki huwezi wasikia wanamsifia bt wao na vibaraka wao wataangalia alipokosea wapate cha kusema.
Mkuu ondoa shaka, huu mpango wa kujenga viwanda vya nguo nchini bado upo tena ndio umepamba moto hatari na utekelezaji wake umeshaanza ndio maana ginneries zote zimefufuliwa, tayari kwa kuzalisha malighafi za viwanda vya nguo vitakavyoanza kuota kama uyoga

Magufuli hatanii, na huwa mambo yake ni surprises kwa wengi wetu

Back
Top Bottom