Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Yaani mtu akisoma hili bandiko lako atakuona wewe ndo foolish kabisa.Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Kwanza utaanzaje kutoa sweeping statement kama hiyo ikijumuisha taifa zima?
Uhuru wa mtu hauthaminishwi na chochote. Siyo maghorofa wala barabara wala madaraja. Ni priceless.
Grow up!