Jidanganye endelea kujidanganya.Baada ya muda Fulani Kenya itakuwa kama America na Ulaya katika maswala ya democracy, mifumo ya uongozi n.k
Ni hatua kuelekea kukua
Kenya ni nchi ya wezi tu,kila ataeingia madarakani ni sawa na aliyetoka.
Hayo maandamano hayajaanza leo na hayakuleta impact yeyote.
Na mbaya zaidi Kenya ni nchi ya tribalism na nepotism.
Unatarajia democracy na mifumo bora ya uongozi itakujaje?
Nchi ambayo imeongozwa na makabila mawili tu toka izaliwe kwa kuendekeza ukabila!?