Bro huwenda ulienda Kenya ila ukakaa sehemu moja ukaganda.Unaijua tz vizuri au unaijua baadhi ya mikoa tu yenye nafuu?
Ungetembea uone.
Kenya ni miongoni mwa nchi yenye makazi duni duniani ya kutisha ulimwenguni.
Kafuatilie Kibera slums kaka na ujue ina wakazi wangapi wanaolala katika nyumba za mabati chakavu yenye kutu.