Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kenya mshaharavwa Rais,Naibu wake na wengine inajulikana ila kwa Tanzania ni siri.sasa Taifa la namna hii ni Taifa kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suluhisho ni wananchi wasikilizwe kile wanachokitaka na serikali itimize wajibu wake Kwa raia wala hutoona mikinzano kama hii.Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Kenyatta alisemaWakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Alisema wapi au ndio zile stori za vijiweni?😎Kenyatta alisema
1. Waganda wajinga wakielimishwa watakuwa welevu na kujua haki zao
2. Wakenya wamelala usingizi, wakiamka watadai hai zao na watazipata
3. Watanzania ni maiti, mizoga, maiti haziwezi kufufuka.
wewe uko wapi?
Hata mimi nimewapima hawana ufumbuzi mikononi Kwa matatizo walioyasababisha wenyewe, they created problems without solutionsWakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Wadudu wale wa Arusha au wengine?Madhara ya mirungi na ugali Kwa wingi
Wakenya ni wadudu wa unga
Wadudu wa ungaWadudu wale wa Arusha au wengine?
Aaaah!! Umenikosha sana big thinker, kuharibu vitu ni njia ya kufikisha ujumbe kwa Dunia pia.Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.
Rudisha picha ya ID huyo kabla watu wajashtuka wewe mjinga. Kamati ya watekaji ostabey uvccmWakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Tufike huko ukiwaacha wapi chawa na wala kwa kamba🫠Tanzania ingekuwa na raia kama wa Kenya kwa resources tulizonazo sa la hivi tungekuwa kama Newyork.
Sema hiviii wafuga mnyama wa madoa doaRudisha picha ya ID huyo kabla watu wajashtuka wewe mjinga. Kamati ya watekaji ostabey uvccm
Maandamano ya wenzetu kama Turkiye na Germany umeyaona!?Hao wanao pinga matumizi mabaya ya kodi yao, au hawa walioko Tanzania?
Wanajikandamiza wenyewe.Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.
Unamfanyiaje ustaarabu fisi wa madoa doa🫠Maandamano ya wenzetu kama Turkiye na Germany umeyaona!?
Ni maandamano ya akili na ustaarabu,sio kama ya Kenya.
Wanavunja majengo ya biashara,wanachoma moto vitu na magari,wanavamia majengo ya serikali n.k n.k.
Je hilo ni sahihi!?
Halafu baadae mtumie kodi zenu zilezile kurekebisha mlichovunja.
Hizo ni matope sio akili.
Ulaya na kwingineko huwezi kuona uharibifu wa mali za umma kipindi cha maandamano.