Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

Wakenya wanajua kuisaka pesa na sio waoga wakujifungua kenya tu, hata nchi ninayoishi majirani zangu wote ni wakenya.
Kenya ni nchi yenye potential finyu ndio maana wanahangaika nje kuliko ndani.
 
Mkikuyu yupi!?
Wakawaida au mwanasiasa!?
Wakikuyu ni wafanya biashara wazuri na wanamiliki makampuni makubwa kenya na njee ya kenya kina bwana James mwangui, Peter munga wa equity bank, sk macharia wa Royal media,Chris kirubi na nk.
 
Bro huwenda ulienda Kenya ila ukakaa sehemu moja ukaganda.
Ungetembea uone.
Kenya ni miongoni mwa nchi yenye makazi duni duniani ya kutisha ulimwenguni.
Kafuatilie Kibera slums kaka na ujue ina wakazi wangapi wanaolala katika nyumba za mabati chakavu yenye kutu.
Umefika Arusha ukaona vijana wa Arusha walivyochoka wakachakaa na Hilo ni Moja kati ya jiji tunaloliiita kubwa tanzania
 
Wakikuyu ni wafanya biashara wazuri na wanamiliki makampuni makubwa kenya na njee ya kenya kina bwana James mwangui, Peter munga wa equity bank, sk macharia wa Royal media,Chris kirubi na nk.
Hayo makampuni ya kawaida kaka hata Tz wapo pia wa namna hiyo kaka.
Ila tafuta uwiano wa hao na wasionacho kesha uone.
Unataja wawili kati ya 20000 mkuu!?
 
Hayo makampuni ya kawaida kaka hata Tz wapo pia wa namna hiyo kaka.
Ila tafuta uwiano wa hao na wasionacho kesha uone.
Unataka wawili kati ya 20000 mkuu!?
Hao nilio wataja wakija tz ni weusi ila hawakosi tano mpka kumi bora ujue.
 
Hao nilio wataja wakija tz ni weusi ila hawakosi tano mpka kumi bora ujue.
Aaaagh wee thubutu mkuuu.
Tano au kumi bora!??
Acha utani kaka.
Ila ujue nini?Tufanye umeshinda kaka Kenya matajiri.
 
Aaaagh wee thubutu mkuuu.
Tano au kumi bora!??
Acha utani kaka.
Ila ujue nini?Tufanye umeshinda kaka Kenya matajiri.
Kumi bora yetu no mweusi mengi na Ali mafuruki walitubeba kaka
 
Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.
nimeona Mombasa wanaharibu na kuchoma magari ya watu binafsi yaliyopaki barabarani, na polisi wapo wanatoa macho tu, he hapo hayo magari yamewatendea kosa gani?
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy

Bongo sio Layman tu lakini Hata Graduate hajui muswada wa fedha ni nini na unaweza kuwa na impact gani katika maisha ya kila siku ya mwananchi.
Labda kwa walosomea uhasibu na fedha kidogo na uchumi na Hata hivyo bado hawawezi kuonesha concern yoyote ile. 👌👌
Bongo kweli bahati mbaya !
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy

Umeandika kinyume chake.
 
Baada ya muda Fulani Kenya itakuwa kama America na Ulaya katika maswala ya democracy, mifumo ya uongozi n.k

Ni hatua kuelekea kukua
 
Back
Top Bottom