Wakenya ni wanafiki; Tazama wanavyotuchamba baada ya kufungwa na Morocco

Wakenya ni wanafiki; Tazama wanavyotuchamba baada ya kufungwa na Morocco

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakika unafiki ni sehemu ya maisha ya waafrika.

Ni vigumu kuamini kama haya maneno yanazungumzwa na jirani zetu haswaaa.

Ebu wasikilizeni wana jamvi.
 
Upo sahihi sana lkn mbona wamekuwa wawazi sana hata aibu?
Ni kwasababu tupo nao levo kona ki ujumla kila mmoja anajitahidi kumpita mwenzie ni tofauti na ug, rwanda, burundi au hata mozambique hao wanatuheshimu maana tupo mbele yao au sisitunawahesimu sauzi maana wapo mbele yetu kimaendeleo, ila wakenya level yetu tu hao
 
Huo ndio ukweli. Mtu hata pasi haiwezi kufika
Hili la pasi kutofika ndo lilikuwa linanichefua sana!

Kama kuna mchezaji alijitahidi, basi ni yule beki wa kushoto! Atakuwa no Diaspora yule!

Beki wa kati, kulia, wote bure kabisaa!
Kati hamna kitu, wachezaji hawana mbio kabisaaaa.

Mpira wa BAHASHA na kununua mechi, unatupa matokeo mujarabu kimataifa!
 
Back
Top Bottom