Kenya wanaingiza gari mpya au karibu na mpya au isiyopungua Miaka mitano Kama sikosei kutoka tarehe iliyotengenezwa ! Standard hii sisi watanzania wengi hatuiwezi Maana ni gari expensive
Utaratibu wa Tbs utakaoanza March , sio mbaya na sio mgeni , gari za kutoka Scandinavia na nchi jirani za huko bado zinakaguliwa kwa mtindo huo maana kule Tbs hawakuwa na agent , Ila kwa mazingira ya nchi masikini utasababisha rushwa .